Wakusolve
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 427
- 577
Wagalatia 5:22–23
“Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu…”
Ukitembea njia za Mungu unakuwa na sifa hizi.
1.Upendo, Mungu akiwa anaishi ndani yako unakuwa mtu mwenye upendo kwa wengine, maisha yako yanakuwa na upendo sababu
Mungu anakufanya kuwa mtu wa kusamehe kwa watu walikukosea, dalili moja wapo kuwa mtu mwenye moyo wa upendo ni kupendwa na watoto, wanyama kuwa karibu yako,
watu amjawai kuonana, ndio mara ya kwanza anakuhadithia maisha yake ya ndani(issue sensitive)sababu anajisikia safe kuwa karibu na wewe.
2.Furaha, Mungu akiwa ndani yako, furaha yako uwa haitegemei vitu vya nje mfano fedha, mali, kifupi unakuwa na furaha ata kipindi cha hali ngumu ya kimaisha.
3.Amani, Mungu akiwa ndani yako , anafanya moyo wako unakuwa na amani ata kipindi cha changamoto ngumu za kimaisha, ukitembea na Mungu unakuwa mtu mwenye nguvu sana sababu uwezi au changamoto aziwezi kukuangusha chini.
Kuna watu uwezi kuja kusikia wana lalamiki changamoto sababu ya amani walionayo inawapa imani ya kushinda changamoto.
4.Uvumilivu, Mungu akiwa ndani yako, anakufanya kuwa na nidhamu ya muda, pesa, Mungu uwa anakujenga kwanza kiimani na tabia ambavyo vinachukua muda lakini ndio vinafanya watu walio fanikiwa kwa mkono wa Mungu mafanikio yao yanakuwa ya Muda mrefu, yenye heshima, hekima, amani na yanatoka kizazi kimoja mpaka chengine na kuacha legacy.