Wewe unajijua sio Husband Material,lakini kutwa kucha umekazana kutafuta Wife Material,,oh Mademu wa siku hizi feki kabisa sio Wife Material,utawapata wapi wakati we mwenyewe una Harakati za dokta Pimbi??Chuma hufua chuma,Mgogo na Mchaga wataweza wapi kuelewana kama kila mmoja anaongea kilugha cha kwao?Sumaku inavuta chuma na jamii ya Chuma,hainasi kwenye Sahani ya Udongo hata siku moja.Kama wewe sio Husband material jiandae kukumbana na mcharuko,usitegemee muujiza.Badilika wewe kwanza na Wife Material atapatikana kirahisi mbele ya macho yako,lasivyo kushnehi...Utasubiri sana,utazeeka hadi macho yataota vigimbi,hata siku moja Kipofu hawezi kwenda jela kwa kesi ya kukonyeza
Nani aanze kuwa material? Wife au husband?Watu mna mambo!!Ulichosema ni kweli, hata ili kupata Husband material lazima uwe wife material kwanza.Wakati mwingine,mmoja anaweza kuwa material mwingine asiwe,hivyo siyo lazima ila ni vizuri kuwa "material"
hiyo formula haiko hivyo wakati wote... Majambazi, mala.ya mashoga, wasagaji, na wahuni wengine wanzaliwa hao hao wife na husband materials...Wife material + husband material = children (material) square
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wewe unajijua sio Husband Material,lakini kutwa kucha umekazana kutafuta Wife Material,,oh Mademu wa siku hizi feki kabisa sio Wife Material,utawapata wapi wakati we mwenyewe una Harakati za dokta Pimbi??Chuma hufua chuma,Mgogo na Mchaga wataweza wapi kuelewana kama kila mmoja anaongea kilugha cha kwao?Sumaku inavuta chuma na jamii ya Chuma,hainasi kwenye Sahani ya Udongo hata siku moja.Kama wewe sio Husband material jiandae kukumbana na mcharuko,usitegemee muujiza.Badilika wewe kwanza na Wife Material atapatikana kirahisi mbele ya macho yako,lasivyo kushnehi...Utasubiri sana,utazeeka hadi macho yataota vigimbi,hata siku moja Kipofu hawezi kwenda jela kwa kesi ya kukonyeza
Nani aanze kuwa material? Wife au husband?
Broda hapo umeua!!...nimecheka hadi basi!Kazi iko hapo kwenye material management
Wife material + husband material = children (material) square
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wewe unajijua sio Husband Material,lakini kutwa kucha umekazana kutafuta Wife Material,,oh Mademu wa siku hizi feki kabisa sio Wife Material,utawapata wapi wakati we mwenyewe una Harakati za dokta Pimbi??Chuma hufua chuma,Mgogo na Mchaga wataweza wapi kuelewana kama kila mmoja anaongea kilugha cha kwao?Sumaku inavuta chuma na jamii ya Chuma,hainasi kwenye Sahani ya Udongo hata siku moja.Kama wewe sio Husband material jiandae kukumbana na mcharuko,usitegemee muujiza.Badilika wewe kwanza na Wife Material atapatikana kirahisi mbele ya macho yako,lasivyo kushnehi...Utasubiri sana,utazeeka hadi macho yataota vigimbi,hata siku moja Kipofu hawezi kwenda jela kwa kesi ya kukonyeza
Watu mna mambo!!Ulichosema ni kweli, hata ili kupata Husband material lazima uwe wife material kwanza.Wakati mwingine,mmoja anaweza kuwa material mwingine asiwe,hivyo siyo lazima ila ni vizuri kuwa "material"