Ukitaka uwepo Umoja wa Afrika wa kweli kweli ujue lazima utaandamwa tu.....

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
23,914
23,079
Hawa walijaribu kwa nguvu zao zote kuwepo Umoja wa Afrika wa kweli kweli kumbuka yaliyowapata...!

1.0 P. Lumumba -Congo,Kinshasa: Walimuyeyusha kwenye Tindikali
2.0 K.Nkurumah-Ghana,Accra: Walimuwekea vikwazo kakao yake isinunuliwe kwenye masoko yao, wananchi wakakosa kipato cha kujikimu wakamgeuka shujaa wao kilichoendelea mnakijua
3.0 Samora. M-Mosambique,Maputo: walimdungua
4.0 Colonel M.Gaddafi-Libya,Tripol: Mnajua kinachoendelea, cha ajabu kuna ma "sniper" wadunguaji huko uharabuni ambao waliua raia wakiwa kwenye mkusanyiko wala hawajashughulikiwa na hizo so called UN-RESOLUTIONS.
 
Qaddafi siyo mwafirika. ni muarabu. haaminiki na mitizamo yake. inawezekana anataka kuitawala Afrika kama anavyoitwala libya. na huyo akitawala afrika tutailimishwa wote.
 
Gaddafi ni mbaya...but nchi za magharibi ni mashetani............
 
Ni kweli mpiga kelele. Africa ikiwa mmoja moja hamna shida. Mkitaka umoja! Utashugulikiwa tu! Mali ghafi zinatakiwa mkijiunga mtakuwa wajanja hamtatawalika ki uchumi vizuri!
 
Qaddafi siyo mwafirika. ni muarabu. haaminiki na mitizamo yake. inawezekana anataka kuitawala Afrika kama anavyoitwala libya. na huyo akitawala afrika tutailimishwa wote.

Tujadili bila kuwa na rangi wala dini kichwani. Vinginevyo murua ya majadiliano itakuwa haipo
 
Hawa walijaribu kwa nguvu zao zote kuwepo Umoja wa Afrika wa kweli kweli kumbuka yaliyowapata...!

1.0 P. Lumumba -Congo,Kinshasa: Walimuyeyusha kwenye Tindikali
2.0 K.Nkurumah-Ghana,Accra: Walimuwekea vikwazo kakao yake isinunuliwe kwenye masoko yao, wananchi wakakosa kipato cha kujikimu wakamgeuka shujaa wao kilichoendelea mnakijua
3.0 Samora. M-Mosambique,Maputo: walimdungua
4.0 Colonel M.Gaddafi-Libya,Tripol: Mnajua kinachoendelea, cha ajabu kuna ma "sniper" wadunguaji huko uharabuni ambao waliua raia wakiwa kwenye mkusanyiko wala hawajashughulikiwa na hizo so called UN-RESOLUTIONS.

Endelea kupiga kelele mkuu.
 
Kweli kabisa haya mashetani yanawaza kutuibia tu mali ghafi zetu. DRC, TZA, Nigeria, na kwiigineko wamefanikiwa kupata mali ghafi kwa collaborative methods kama kutoa vyandarua, dawa za ukimwi, Raisi wao kutembele nchi na maraisi wa nchi hizo kutembelea ulaya na Marekani wakati wowote. Kwa wale wabishi kama Gaddafi, wamekuwa adui wao wakubwa na sasa unaona wanachofanya.

"Siyapendi"
 
Mbali na yote haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea huko Afrika ya Libya, hakuna tena waandishi wa habari, kiongozi wa Afrika ambaye anazungumzia kuwa Serikali ya Libya ilikuwa nampango wa kusaidia kuikwamua Afrika kutoka kwenye makucha ya IMF na World Bank, na sasa ni nini kifanyike ili mpango huu usipotee kabisa .Baadhi ya Watu wanaongea upupu(Wanajijua haswaa) ambao wala hausaidii kuhakikisha kuwa inakuwepo Afrika huru na iliyoungana kikweli kweli. Inasikitisha sana
......................
Even worse for the colonial powers, Libya had allocated $30 billion for the African Union's three big financial projects, aimed at ending African dependence on western finance. The African Investment Bank, with its headquarters in Libya, was to invest in African development without charging interest, which would have seriously threatened the International Monetary Fund's domination of Africa, a crucial pillar for keeping Africa in its impoverished position.
............
 
Afrika haina chake hapa Duniani.Hakuna umuhimu wakujivunia kuwa mwaafrika kabisa kwani hakuna nchi ya Afrika ambayo inaweza leo kujiamulia ni sera zani za siasa na uchumi itumie katika kuongoza na kujiletea maendeleo.
AFRICA -A STATELESS CONTINENT WITH WEAK NATIONS.
 
Back
Top Bottom