Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,169
- 29,876
Sema alie onjeshwa joto la jiwe ni papa lissu the don jamaa kuwa kwake hai ni muujizaNimefuatilia kwa karibu wanasiasa wanaijitosa kugombea urais.
Wengi wamejikuta kuingia matatixo mazito ya kimaisha, hasa wanaotoka vyama vyenye ushawishi kama CCM na CHADEMA.
Na hata wakiupata, bado wanakuwa na maisga ya ndege, kurukia tawi hili na lile, kujinusuru kiusalama.
Heri upambe tu, siku hizi ati uchawa!
Mwalimu Nyerere-kifo chake maneno matupu.
Ali H. Mwinyi-imebidi ajitie ujinga ili asisumbuliwe.
Benjamin Mkapa-aliondoka chap chap
Jakaya Mrisho Kikwete-ni mjanja na anaujua uwanja.
John Magufuli-kuondoka kwake maneno mengi.
Freman Mbowe-lupango kachezea sana hadi kesi ya uhaini.
Tundu Lissu- amekula risasi za kutosha.
Vile vile fuatilia waliowahi kugimbea urais halafu tulete mrejesho.
Yule mkulima sijui yupo hali gani!Nimefuatilia kwa karibu wanasiasa wanaijitosa kugombea urais.
Wengi wamejikuta kuingia matatixo mazito ya kimaisha, hasa wanaotoka vyama vyenye ushawishi kama CCM na CHADEMA.
Na hata wakiupata, bado wanakuwa na maisga ya ndege, kurukia tawi hili na lile, kujinusuru kiusalama.
Heri upambe tu, siku hizi ati uchawa!
Mwalimu Nyerere-kifo chake maneno matupu.
Ali H. Mwinyi-imebidi ajitie ujinga ili asisumbuliwe.
Benjamin Mkapa-aliondoka chap chap
Jakaya Mrisho Kikwete-ni mjanja na anaujua uwanja.
John Magufuli-kuondoka kwake maneno mengi.
Freman Mbowe-lupango kachezea sana hadi kesi ya uhaini.
Tundu Lissu- amekula risasi za kutosha.
Vile vile fuatilia waliowahi kugimbea urais halafu tulete mrejesho.
JK ameshajaa. SubiriaNimefuatilia kwa karibu wanasiasa wanaijitosa kugombea urais.
Wengi wamejikuta kuingia matatixo mazito ya kimaisha, hasa wanaotoka vyama vyenye ushawishi kama CCM na CHADEMA.
Na hata wakiupata, bado wanakuwa na maisga ya ndege, kurukia tawi hili na lile, kujinusuru kiusalama.
Heri upambe tu, siku hizi ati uchawa!
Mwalimu Nyerere-kifo chake maneno matupu.
Ali H. Mwinyi-imebidi ajitie ujinga ili asisumbuliwe.
Benjamin Mkapa-aliondoka chap chap
Jakaya Mrisho Kikwete-ni mjanja na anaujua uwanja.
John Magufuli-kuondoka kwake maneno mengi.
Freman Mbowe-lupango kachezea sana hadi kesi ya uhaini.
Tundu Lissu- amekula risasi za kutosha.
Vile vile fuatilia waliowahi kugimbea urais halafu tulete mrejesho.
Lyatonga alilogwa sijui. Dish liliyumba toka ile 1995.Nimefuatilia kwa karibu wanasiasa wanaijitosa kugombea urais.
Wengi wamejikuta kuingia matatixo mazito ya kimaisha, hasa wanaotoka vyama vyenye ushawishi kama CCM na CHADEMA.
Na hata wakiupata, bado wanakuwa na maisga ya ndege, kurukia tawi hili na lile, kujinusuru kiusalama.
Heri upambe tu, siku hizi ati uchawa!
Mwalimu Nyerere-kifo chake maneno matupu.
Ali H. Mwinyi-imebidi ajitie ujinga ili asisumbuliwe.
Benjamin Mkapa-aliondoka chap chap
Jakaya Mrisho Kikwete-ni mjanja na anaujua uwanja.
John Magufuli-kuondoka kwake maneno mengi.
Freman Mbowe-lupango kachezea sana hadi kesi ya uhaini.
Tundu Lissu- amekula risasi za kutosha.
Vile vile fuatilia waliowahi kugimbea urais halafu tulete mrejesho.
Lowassa piaLyatonga alilogwa sijui. Dish liliyumba toka ile 1995.
Mama Anna Muingira wa ACT, Mziray wa TPP Maendeleo na Profesa Shayo nao walifariki kimasihara
Lipumba, Slaa, Cheyo aka Bwana Mapesa na Mzee Rungwe aka Mzee wa Ubwabwa wote hawako vizuri tena upstair kuna nut zimelegea
Hapo umemwacha Mwandosya aliyekoswakoswa na sumu.Hao uliowataja walikuwa Marais tayari, waliogimbea ni
1. John Mrema Mzee wa Kiracharacha na mjumbe wa Bodi ya Paroli
2. Mzee wa vijisenti John Cheyo
3. Mzee wa Mabagachori Mtikila
4. Tundu Lisu
5. Mtu huru Freeman
6. Kigwanomics Kingwa
7. JM Makamba smart person |3rd runner]
8. Asha Rozi Migiro [2nd Runer]
9. Mwigulu mzee wa utaifa kwanza
10. B.M [anakadhiwa kwa wazee bado hajazikwa]
11. Mzee wa Mamvi [Elimu kwanza] Lowassa
12. Anna Mgirwa
13. Queen Chandiga
14. Mzee wa ubwabwa
Na wengine wengi, tu check justification ya hoja yako sasa