Gloriamagret
Member
- Jun 12, 2023
- 47
- 155
Mkuu wee ushalizwa na huyo manzi, alikuwa anakupa kipochi manyoya kwa mashartKila sikunutasikia nipe pesa ya school bus ya mtoto.nipe pesa ya kula.simu mbovu.nimefiwa.kesho bearth day yangi.wiki ijayo ya mtoto nk...
Hizi zote akili za kitoto tu, kama wewe ulibahatika kupata mke mwema shukuru Mungu, nakumbuka wakati naanza kazi nikiwa kijana wanakuja watu wazima wakinieleza ndoa zao mambo yanavyokwenda mrama karibu na kuzama kama siyo kuzama kabisa nilikuwa nabaki speechless! Mtu mzima anakueleza mambo makubwa ya ndani ya familia ambayo wewe huna uzoefu nayo kabisa tofauti na kuyasoma kwenye novels ambako wakati mwingine ule uhalisia hatuupati sana. Jamani hizi ndoa zinamatatizo mengi sana, don't generalize your world to be everybody's. Waswahili waliposema kitanda usichokilalia hujui kunguni wake hawakukosea, pia binadamu tuna level tofauti za kuvumilia mambo.Hivi kama una mke nyumbani ya nini kuhangaika na michepuko hata kama una fedha za kuwapa? Unakuta zee linahangaika na binti mdogo mpaka linamnunulia simu kali ya smart ya bajeti kubwa wakati mke wake ana simu kitochi.
Hawa wazee ni wapumbavu kuwaharibia mabinti wasipate waume sahihi wa kuwaoa na kuunda famili zao zinazoeleweka. Ni kweli michepuko inafilisi, utajikuta familia yako haipati mahitaji muhimu, michepuko inakomba hela zote
Hili nalo mkalitazameKila siku utasikia nipe pesa ya school bus ya mtoto, nipe pesa ya kula, simu mbovu, nimefiwa, kesho Birthday yangu wiki ijayo ya mtoto nk.
Bado naomba nauli nimefiwa kodi ya nyumba imekwisha, umeme, gesi nk.
Pamoja na yote hayo kumbuka wewe ni boya tu na mko zaidi ya kumi sema mmepangiwa ratiba.siku.ukiambiwa leo sipo ni zamu ya mwenzio.
Kila meseji ya kuomba pesa pesa mmetumiwa watu kumi na wajinga tano mtatuma.
Pesa zako hizo hizo kuna mmoja ampendae na anabembelezwa waje watumie tena anampigia mbele yake kuwa huyu ni bwege wangu.
Ukija kushtuma umri umekwenda au umestaafu na hakuna ulichofanya na kuanza kuwaona wenzio waliofanikiwa ni wezi.
Toka usingizini michepuko ni majanga kwako na uzee wako utakuwa wa shida na mateso makubwa kwako na familia yako.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Watu wangekuwa na mawazo kama yako kusingekuwa na vilio kwenye mahusiano Wala ndoa,maana ndoa nyingi zimevunjika kwa sababu ya michepukoHivi kama una mke nyumbani ya nini kuhangaika na michepuko hata kama una fedha za kuwapa? Unakuta zee linahangaika na binti mdogo mpaka linamnunulia simu kali ya smart ya bajeti kubwa wakati mke wake ana simu kitochi.
Hawa wazee ni wapumbavu kuwaharibia mabinti wasipate waume sahihi wa kuwaoa na kuunda famili zao zinazoeleweka. Ni kweli michepuko inafilisi, utajikuta familia yako haipati mahitaji muhimu, michepuko inakomba hela zote