Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,970
- 36,442
- Thread starter
- #61
Tuko hapa tunasubiri mwendelezoKuomba mbususu kinyonge nako jau, ila akiwa kaninunia nalia lazima tu asogee kuuliza shida nini naongeza kilio, halafu nakuwa normal naanza kumcheka haha kumbe unajali eh atarusha kakofi kauchokozi "sitaki bwana mambo yako" namjibu "unataka tu unavunga"
Itaendelea....