Ukitaka kujua system ni hatari, angalia mdundo unaochezwa tokea kwa Mwingira, Jaji wa NEC na leo Ndugai na Rais Samia

Mara ya mwisho humu kuandikwa au kusoma habari za Mbowe ilikuwa ni tar 25 ya Xmass. Baada ya hapo ni mwendo wa Mwingira, akaja yule mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, mara Zito sijui kampongeza Mwingira, leo watu wameamka na Ndugai. Kesho haujulikani atapangiwa nani mungine wa kuja kufubaza akili za hawa nyumbu wanaoelekea kwenye machinjio wenyewe.
 
Katika yote hayo wala hatujui Mwingira kafika polisi kuhojiwa ama la!

Nchi hii tumerogwa tena tumerogwa hasa si wapinzani wala wanaharakati wote

Ukitaka kujua tumerogwa fikiri toka jana tuna mikasa minne ambayo yote itapita bila kupatiwa jawabu la maana.

Mapema tulianza na Mwingira akaja Jaji yule wa NEC asubuhi imepigwa pasi ndefu ikamkuta Ndugai na bila ajizi Ndugai naye kampasia Samia ili afunge hahahaha!
Sasa system imefanya nini we bwege, hayo matukio ni coincidence tu, yanaonyesha ku fail KWA ccm kuongiza nchi
 
Hivi huwa mnataja "System" ..deep state ...

Mkidhan mkitaja ivo, ndo muonekane ni Ma Think Tank ? Bright ??

Muwe mnaacha ujinga..

Hamna cha system kuchezesha wala bibi yake ..

Mambo yanatokea ,kama yanavyotokea mengine kiasili !!.

Mwingira alikua na yake, Ndugai Ana yake , na bado tutaendelea kushudia mengi kwa sababu kubwa moja...Kuna Kundi liliumizwa na Awamu ya Tano, kuna kundi lilinufaika na awamu ya Tano ( kila kundi hapa lina kile kinachoamini)...

Sio wapinzani, sio wadini, sio wafanyabiashara, sio wana nchi.

Kama ni system ndio yenye kufanya unavyosema, BASI KUNA SYSTEM YA HOVYOO HOVYOOO ILOJAAA UJINGA UJINGA,ISIYOFIKIRIA, YENYE MABOGUS KIBAO.....

na ninadhan itakua ni Reproductive System.
Hawa wajinga ndo wanasema system imetuletea kupata KWA mwezi, na kumpongeza magufuli kupatwa kwa jua kuonekana tanzania
 
Hivi huwa mnataja "System" ..deep state ...

Mkidhan mkitaja ivo, ndo muonekane ni Ma Think Tank ? Bright ??

Muwe mnaacha ujinga..

Hamna cha system kuchezesha wala bibi yake ..

Mambo yanatokea ,kama yanavyotokea mengine kiasili !!.

Mwingira alikua na yake, Ndugai Ana yake , na bado tutaendelea kushudia mengi kwa sababu kubwa moja...Kuna Kundi liliumizwa na Awamu ya Tano, kuna kundi lilinufaika na awamu ya Tano ( kila kundi hapa lina kile kinachoamini)...

Sio wapinzani, sio wadini, sio wafanyabiashara, sio wana nchi.

Kama ni system ndio yenye kufanya unavyosema, BASI KUNA SYSTEM YA HOVYOO HOVYOOO ILOJAAA UJINGA UJINGA,ISIYOFIKIRIA, YENYE MABOGUS KIBAO.....

na ninadhan itakua ni Reproductive System.
Mi nadhani hiyo system ndivyo ilivyo mkuu,we wadhani kungewepo system ya maana ungesikia haya kuna vitu hutokea Tanzania tu.
 
Wewe umeongea la maana. Nchi hii ina deep state gani zaidi ya ushuzi uitwao usalama wa taifa ambao hawajui wanataka nini kiende nini kisiende. Mambo nchi hii yanajiendesha yenyewe. Eti mtu anatoka anatudanganya eti maneno ya Polepole ni mpango wa deep state?
Kwakwel dipu steti ya bongo ni ushuzi wa amba ruti kama kazi zao ndio hiz..mavi kabisa
 
Katika yote hayo wala hatujui Mwingira kafika polisi kuhojiwa ama la!

Nchi hii tumerogwa tena tumerogwa hasa si wapinzani wala wanaharakati wote

Ukitaka kujua tumerogwa fikiri toka jana tuna mikasa minne ambayo yote itapita bila kupatiwa jawabu la maana.

Mapema tulianza na Mwingira akaja Jaji yule wa NEC asubuhi imepigwa pasi ndefu ikamkuta Ndugai na bila ajizi Ndugai naye kampasia Samia ili afunge hahahaha!
Takataka tupu
 
Mara ya mwisho humu kuandikwa au kusoma habari za Mbowe ilikuwa ni tar 25 ya Xmass. Baada ya hapo ni mwendo wa Mwingira, akaja yule mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, mara Zito sijui kampongeza Mwingira, leo watu wameamka na Ndugai. Kesho haujulikani atapangiwa nani mungine wa kuja kufubaza akili za hawa nyumbu wanaoelekea kwenye machinjio wenyewe.
Tayari kule Serrukamba kamwambia Spika aache shobo
 
Katika yote hayo wala hatujui Mwingira kafika polisi kuhojiwa ama la!

Nchi hii tumerogwa tena tumerogwa hasa si wapinzani wala wanaharakati wote

Ukitaka kujua tumerogwa fikiri toka jana tuna mikasa minne ambayo yote itapita bila kupatiwa jawabu la maana.

Mapema tulianza na Mwingira akaja Jaji yule wa NEC asubuhi imepigwa pasi ndefu ikamkuta Ndugai na bila ajizi Ndugai naye kampasia Samia ili afunge hahahaha!

Mzee kongole kwako, unaakili sana
 
Wewe umeongea la maana. Nchi hii ina deep state gani zaidi ya ushuzi uitwao usalama wa taifa ambao hawajui wanataka nini kiende nini kisiende. Mambo nchi hii yanajiendesha yenyewe. Eti mtu anatoka anatudanganya eti maneno ya Polepole ni mpango wa deep state?

Punguza jazba relax mkuu
 
Katika yote hayo wala hatujui Mwingira kafika polisi kuhojiwa ama la!

Nchi hii tumerogwa tena tumerogwa hasa si wapinzani wala wanaharakati wote

Ukitaka kujua tumerogwa fikiri toka jana tuna mikasa minne ambayo yote itapita bila kupatiwa jawabu la maana.

Mapema tulianza na Mwingira akaja Jaji yule wa NEC asubuhi imepigwa pasi ndefu ikamkuta Ndugai na bila ajizi Ndugai naye kampasia Samia ili afunge hahahaha!
Sio wote tunaodanganyika, bado watanganyika asilia tupo
 
Katika yote hayo wala hatujui Mwingira kafika polisi kuhojiwa ama la!

Nchi hii tumerogwa tena tumerogwa hasa si wapinzani wala wanaharakati wote

Ukitaka kujua tumerogwa fikiri toka jana tuna mikasa minne ambayo yote itapita bila kupatiwa jawabu la maana.

Mapema tulianza na Mwingira akaja Jaji yule wa NEC asubuhi imepigwa pasi ndefu ikamkuta Ndugai na bila ajizi Ndugai naye kampasia Samia ili afunge hahahaha!
Unajiona una akiliiii! Kumbe umemwaga shudu tu hapa.
 
Katika yote hayo wala hatujui Mwingira kafika polisi kuhojiwa ama la!

Nchi hii tumerogwa tena tumerogwa hasa si wapinzani wala wanaharakati wote

Ukitaka kujua tumerogwa fikiri toka jana tuna mikasa minne ambayo yote itapita bila kupatiwa jawabu la maana.

Mapema tulianza na Mwingira akaja Jaji yule wa NEC asubuhi imepigwa pasi ndefu ikamkuta Ndugai na bila ajizi Ndugai naye kampasia Samia ili afunge hahahaha!
Ina faida gani sasa? Wanasiasa uchwara wakishabugi wanajifanyaga kubugi kwao ni planned na system kumbe hakuna kitu. Wadanganye wajinga wenzako.
 
Hakuna cha System wala nini , tunao watu hukohuko ndani na wanakiri wazi kwamba nchi imekatika senta bolti , kama ni mipango wangeropoka tu kama wanavyoropoka mara zote
Kwahilo kawaulize tena labda hamkuelewa vizuri . Inaweza kuwa ni bolt nyingine ndogo ndogo maana dude limesimama.
 
Back
Top Bottom