Ukitaka kujua msichana wa chuo hakutaki tena haya ndiyo majibu yao

Mbona sasa anhitaji kuandaa presentation kiukweli, anaenda library, na roommate wake anapokea wageni? Utajuaje anakudanganya?
Au unaongelea wakati zinakua recurrent?
 
1. Baby tutaongea baadae naingia lecture
2.Jamani honey sikuweza kupokea simu nilikuwa kwenye kelele
3.Sweetie sina credit nikashindwa kukujibu
4.Tupo discussion jamani ntakupigia bdae
5.Simu haikuwa na chaji jamani (HAPO AMEKUZIMIA SIMU)
6.Nipo na kaka jamani usipige simu
7. Nina presentation kesho hny hatuwezi kuonana
8. Roommate wangu ana mgeni USIJE leo
9. Nipo library dia ntakutafuta baadaye(kwa sauti ya chini)
SHTUKA MAPEMA HUNA CHAKO PALE, KAMA UNA KWINGINE JIONGEZE USISUBIRI AKWAMBIE KUWA HAKUTAKI!!!!!!!!!

hahahaaaa. Tena ujue anaweza akawa anachukuliwa na watu wa masters, lecturez au wazee wa maofisini. Mulika mwizi mkuu.
 
Kuna buzi mmoja mlugaluga wa uraiani alifika maeneo ya chuo akampigia demu wake mwanachuo simu, akaambiwa yupo discussion. Jamaa akaja kwangu akaniuliza, "Eti Discussion ndio wapi hapa chuo?" akidhani kwamba kuna eneo pale chuo linaitwa 'Discussion' !!!

Story ya kitoto hii.
 
Pole mkuu.Hivi vibinti vya chuo vinamatatizo sana.Dawa yao kivalishe pete ya Uchumba fake then utakula tambalaleee.
... Pete ya Uchumba feki, ....... Ushauri mwingine ni sawa na nguvu za giza............. utavalisha wangapi???
 
Mkuu umeifanya siku yangu leo iende mzuri!!! Mi'nimwanachuo. Nafahamu asilimia zaidi ya 90 ya mademu wa chuo hawapo kwa ajili ya kuolewa. Wana MAPENZI zaidi ya Uongo. Naomba nisiongee sana. Nilitaka kuoa mwanachuo. Nilivyotendwa sina hamu tena!!!!!
 
1. Baby tutaongea baadae naingia lecture
2.Jamani honey sikuweza kupokea simu nilikuwa kwenye kelele
3.Sweetie sina credit nikashindwa kukujibu
4.Tupo discussion jamani ntakupigia bdae
5.Simu haikuwa na chaji jamani (HAPO AMEKUZIMIA SIMU)
6.Nipo na kaka jamani usipige simu
7. Nina presentation kesho hny hatuwezi kuonana
8. Roommate wangu ana mgeni USIJE leo
9. Nipo library dia ntakutafuta baadaye(kwa sauti ya chini)
SHTUKA MAPEMA HUNA CHAKO PALE, KAMA UNA KWINGINE JIONGEZE USISUBIRI AKWAMBIE KUWA HAKUTAKI!!!!!!!!!

mkuu umegonga penyewe,safi sana, mapenzi ya booom ndivyo yalivo.
 
Mkuu umeifanya siku yangu leo iende mzuri!!! Mi'nimwanachuo. Nafahamu asilimia zaidi ya 90 ya mademu wa chuo hawapo kwa ajili ya kuolewa. Wana MAPENZI zaidi ya Uongo. Naomba nisiongee sana. Nilitaka kuoa mwanachuo. Nilivyotendwa sina hamu tena!!!!!

pole mkuu, unajua tatizo ni nini? Iko hv, bint wa f4 anaona status yake ipo juu anapokuwa na boyfriend ambaye yuko f6, demu wa f6 anaona status yake ipo juu anabokuwa na boyfriend yuko chuo, nakumbuka kipindi nko six hata sisi wenyewe tukishajua demu ana bwana yuko chuo hakuna mtu alikuwa anahangaika nae,utasikia jamaa yake juko chuo huyo(status hapo), demu wa chuo anatamani kuwa na boyfriend ambaye tayari ana ajira kwa kuwa atamsaidia pindi boom litakapoisha, pia atamuoa, hivyo anakuwa hakutaki wewe mwanachuo mwenzie,maana huwa wanapiga hesabu kuwa mpaka uje upate ajira uje ujipange kimaisha ndio uje useme unaoa ni lini? ndivyo ilivyo mkuu,kwani hujaona asilimia kubwa ya mabint wa chuo huwa wanachukuliwa na watu wa nje ya chuo tena wenye kazi zao?na wanashobokea sana boy mwenye gari, vijana wa chuo zao ni kazi za nje espclly haki elimu.
 
Ha! Ha! Ha! Sehemu kubwa ya watoto wa chuo ndiyo tabia zao ila si wote wapo wenye upendo wa kweli ukifanikiwa kumpata utakuwa na raha sana sasa tatizo letu boys wa vyuoni huwa si wakweli ukipata mchumba unaona sifa kujitangazia na ikitokea ukatembea nae basi unasimulia kwa wenzio kwa kweli tabia hii huwachukiza sana dada zetu na ndiyo maana wanakwepa wanafunzi wenzao chuoni ili kulinda heshima zao na ikitokea amekubali kujenga mahusiano na mwanafunzi mwenzake basi ujue anajua huna tabia chafu kama hizo unajiheshimu,boys vyuoni tubadilike tujiheshimu dada zetu watatuamini na kurudisha imani kwetu kwa sasa wamekuwa waoga kutokana na sisi tulivyo!
 
Mimi nikiona dalili yoyote hapo natamwacha kwa muda, akinitafuta tu nitaangalia analotaka kwangu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom