Ukisusa wenzio wala

aseeeeeh!!!!!!!

huyo ni mke au presha........?

uswahili mwingiiiiiiiiiiii...........
 
Hao itakuwa wanaishi ukanda wa PWANI.
 
huyo mwanamke full presha !!
ukiwa nae ni vema uwe na dawa za presha jirani ili kila anapoanza mipasho yake kazi yako inakuwa ni kunywa dawa tu hahahahahahahahahaaaa
 
huyo mwanaume nae ni --------,nae havae frana ilyoandikwa "nikiwa ndani wakwako nikitoka nje wawenzako" nyingine "hayo maneno tu hata kwenye kawa yapo".
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…