me nilirudi mapema maana kuna mzee mmoja alisema ajira zina watu ,ikumbukwe kwamba hata kabla uhamiaji hawajaita nillisema jf hapa kwamba ajira zina watu,zile ajira za udom nazo ilikuwa hivyoo hivyo hr alipigiwa sm kutoka ofisi nyeti akapewa list ya majina hr alisononeka sana maana naye alikuwa na ndigu zake,nilishawai kusema hapa jf bila mil 1au 2 t.r.a kupata kazi ndoto.
Tuelekeze tukampe nani hizo 1M au 2M,Pesa sio tatzo!!!
Kweli Tz ajira ni janga kwa graduate, hili linaendelea kujirihidhisha hata katika interview ya leo ya NSSF gundua watu waliojitokeza kufanya interview ni zaidi ya 5,000. du ni shidaaaah kwa kweli!
Tuelekeze tukampe nani hizo 1M au 2M,Pesa sio tatzo!!!