TUJISAFIRISHE NA NIT
Ubovu wa kitu kiitwacho management,wakati wao wakiwashinikiza madereva warudi kuongeza elimu sambamba na bei elekezi ila leo imekua tofauti kwao pale wanaposhindwa kuendana na wakati kwa mfano wakati vyuo vingine vinamaliza mitihani ya semista wao wanaanza vivyo ivyo kwenye majibu suala linalopelekea vijana wao kutoweza kushindana katika soko la ajira wala kutopata fulsa ya kuhama kuamia vyo vingine kana kwamba haitoshi chuo icho kikiwa na aina tofauti karibia ya kila kitu kinashindwa kutoa transcript kwa wanafunzi wao mpaka ivi sasa japo zinahitajika ,ili upate haki yako iyo kuna masharti kama unaenda kuomba kazi iki ni chuo cha taifa cha usafirishaji
Waziri wa elimu ebu tumbua uozo uu pamoja na mengi ambayo yapo chini ya kapeti vijana wako wapate kuwajibika katika jamii yao,management F,Ubora wa elimu kwa wanafunzi F,Vitendea kazi F