Hii story iko biased na ni one sided.Tunawacondemn hao walimu wkt hatujaskiliza upande wao wala kuthibitisha ukweli halisi on the ground.mi naamini hao walimu ni temporarily insane and its nt their fault.
Na hata km ni kweli,mi naamini walimu ni kundi moja la watu wenye busara,hekima na linajumuisha watanzania wa chini kabsa na wakawaida ambao kufeli kwa watoto kunawagusa directly km jamii na pengine ni wazazi,mashangazi,wajomba etc wa hao watoto.
Cha kujiuliza ni je, kama ni kweli sababu ni nini?Haimaanishi kuna uozo mkubwa sana na walimu wamechoka wamefika stage ya no return?Sio kawaida na panapofuka moshi kuna moto so napendekeza hatua za haraka zichukuliwe na uchunguzi ufanyike,walimu wanateseka sana na kuonewa..mtu ukishachoka sana haufikirii properly.unakuwa temporarily insane.