Ukisoma hii article utajua kwanini Leo tena wanasema Rais kadanganywa

Lendomz

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
446
381
Ukisoma utaelewa kwa nini na Leo watu wanasema rais kadanganywa!!
In the issue of Radar, the case was closed prematurely? Why?
Yet BAE payed the amount to Tanzanian government in form of danation! Why?

===============================================

BAE's £29.5m for education is an unsatisfactory conclusion to a case with much wider significance for the people of Tanzania
MDG--Education-in-Tanzani-006.jpg

Children walk down a country road to their school in Usa River village, near Arusha, Tanzania. Photograph: Roberto Schmidt/AFP/Getty Images

So BAE has finally paid out £29.5m for education projects in Tanzania. The payment was agreed two years ago, as part of a settlement with the Serious Fraud Office (SFO) that brought to an end the SFO's investigation into a sale in 2002 of a $40m (£25m) military radar to the Tanzanian government. BAE admitted a failure to keep proper accounting records, relating in particular to a $12.4m payment to a Tanzanian middleman for "marketing" purposes, but avoided any admission of corruption.

The case has been closed, with some accountability for BAE and some reparations for Tanzania. But for many Tanzanians it leaves a bitter taste.

First, the settlement undermines the cause of bringing the final recipients of the $12.4m to justice. Tanzania's attorney general at the time of the deal, Andrew Chenge, was the focus of SFO investigations. After Jersey bank accounts in his name were found to contain $1m, he resigned and shocked the Tanzanian public by describing this money as "small change".

The BAE settlement means the evidence against him will never be presented in a UK court. More recently, Chenge has claimed the closure of the SFO investigation confirms his innocence, though neither the settlement agreement (pdf) nor the judge's sentencing remarks (pdf) made any such declaration.

4481.jpg

Global development - The Guardian How do you solve half a century of bloodshed in Colombia? – podcast
After the civil war that claimed 250,000 lives ended with last year’s accord, Lucy Lamble investigates how Colombia’s communities plan to build lasting peace
Listen
Tanzania's Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) had been working alongside the SFO on the investigation. When it was brought to a premature close by the BAE-SFO settlement, the Tanzanian investigations lost all momentum, as well as a rare opportunity to bring to court a suspect in a major corruption case. After the settlement was announced, a PCCB spokesperson said: "Evidence collected by [the] PCCB and SFO on corruption allegations in the radar deal has failed to link Mr Andrew Chenge with the allegations".

The US embassy cables released by Wikileaks included a report from 2007 in which the PCCB head, Edward Hoseah, described senior Tanzanian politicians as "untouchable", and reported that "his life may be in danger". A US official noted that the fact the PCCB was taking the case seriously "may actually reflect the notoriety of the case in the UK", and that "a fully developed case file, brimming with detailed evidence, was presented by UK investigators to the Prevention of Corruption Bureau". When the SFO stepped back, however, the PCCB case dissipated.

Advertisement
Second, the payment made by BAE is problematic because it overlooks some of the key lessons about aid effectiveness learned by the aid industry over the past 20 years.

BAE has specified the money be spent on school textbooks and other educational equipment. But the Tanzanian government already had a responsibility to provide these things and had promised to do so. The payment from BAE effectively absolves Tanzania's government of its responsibility to provide a quality education for the country's people, thereby undermining its accountability to its citizens.

A payment for something that the government had already promised opens up the problem of aid fungibility. BAE's payment for textbooks allows Tanzania's government to reassign its textbook budget elsewhere. The amount spent on school equipment remains unchanged, but spending on something else – military hardware, perhaps? – increases.

The UK gives a lot of aid to Tanzania. Much of this is rightly focused on improving governance and accountability, including anti-corruption work. But the SFO has undermined these efforts in its hasty and ill-considered settlement with BAE.

"We are glad to have finally been able to make the payment to the government of Tanzania and bring this matter to a close," BAE said. No surprise there. BAE would like nothing more than to draw a line under the episode.

The SFO is also happy. Its director Richard Alderman said: "It provides a satisfactory outcome for all concerned but most of all for the Tanzanian people."

I beg to differ. There is no satisfactory conclusion for the people of Tanzania, where the investigation's premature closure undermines the cause of justice and accountability. As Tanzanian media tycoon Reginald Mengi tweeted (in Swahili): "The radar money has been paid. Nobody has been prosecuted. They say there's no evidence. Is the war on corruption just words?"

SOURCE; BAE payment to Tanzania undermines justice and accountability
 
BAE payment to Tanzania undermines justice and accountability

Ukisoma utaelewa kwa nini na Leo watu wanasema rais kadanganywa!!

In the issue of Radar, the case was closed prematurely? Why?

Yet BAE payed the amount to Tanzanian government in form of danation! Why?
Hii issue ya mchanga wa dhahabu na issues ya Radar ya BAE ni vitu viwili togauti kama mbingu na nchi.

Kwenye issue ya Radar hakuna popote ambapo rais alidanganywa, ile ni issue ya grand corruption, ambapo bei ya radar ya mtumba ilikuwa inflated ili ku accommodate kickback za watu, na baada ya Chenge kukutwa ameficha dola milioni moja na ushehe kule Jersey akasema "tule ni tujisenti tuu "akimaanisha compared na wenzake walivuta ngapi! . Hii maana yake hata bosi wake alishikishwa!.

Hii issue ya mchanga ni rais kudanganywa kuwa huo mchanga ni so valuable, such that Tanzania tulikuwa tunaibiwa so much for so long! .

Issue ya Radar ilifunikwa kwa makusudi kuwalinda waliokula mlungula. Issue ya mchanga ni wizi tuu kwa ujinga na uzembe wetu, hawa jamaa wana mkataba sio tuu wa kuwaruhusu kusomba mchanga wetu bali kutuibia mchana kweupe.

Utata wa real value is easy to resolve.
1. Kwa kufanya ukaguzi Accacia wamelipwa kiasi gani na wanunuzi, kisha kukokotoa 4% ya market value. Halafu tunapiga hesabu ya jumla tangu walivyoanza kutuibia, kisha tunawadai.

2. Serikali iyatumie hayo makontena 277 kama sample kwa kuyataifisha na serikali ndio iyauze mahala pengine kuchanjua na kulinganisha bei, then tunawadai the difference times makontena yote waliyosafirisha.

Paskali
 
Pasco kwanini tunadhani kamati/tume ya Mruma imemdanya rais?
 
Kwenye issue ya Radar hakuna popote ambapo rais alidanganywa, ile ni issue ya grand corruption, ambapo bei ya radar ya mtumba ilikuwa inflated ili

Hii issue ya mchanga ni rais kudanganywa kuwa huo mchanga ni so valuable, such that Tanzania tulikuwa tunaibiwa so much.

Paskali
Wewe unaudhibitisho gani kwamba Raisi amedanganywa? Au kuna mtu amekupa kick nini?
 
Hakuna cha article hapo wasenge mnawatete watu waliotuujumu uchumi kwavhofu za siasa zenu za kusaka watu wa kuwapigia kura 2020 ,namnavyowatete ni baba zenu leo mnajifanya hatujaibiwa mbuna awamu ya nne mlikua mnapiga kelele mnaibiwa madini,,ufipa kuweni na akili
Una umri gani mkuu? Samahani lakini, naomba kujua kwenye hii ishu ufipa wanahusika na matusi yote uliyowaporomoshea? Huku tunapingana kwa hoja bila lugha ya kukwazana, ndio maana tukawaachia facebook
 
Hii issue ya mchanga wa dhahabu na issues ya Radar ya BAE ni vitu viwili togauti kama mbingu na nchi.

Kwenye issue ya Radar hakuna popote ambapo rais alidanganywa, ile ni issue ya grand corruption, ambapo bei ya radar ya mtumba ilikuwa inflated ili ku accommodate kickback za watu, na baada ya Chenge kukutwa ameficha dola milioni moja na ushehe kule Jersey akasema "tule ni tujisenti tuu "akimaanisha compared na wenzake walivuta ngapi! . Hii maana yake hata bosi wake alishikishwa!.

Hii issue ya mchanga ni rais kudanganywa kuwa huo mchanga ni so valuable, such that Tanzania tulikuwa tunaibiwa so much for so long! .

Issue ya Radar ilifunikwa kwa makusudi kuwalinda waliokula mlungula. Issue ya mchanga ni wizi tuu kwa ujinga na uzembe wetu, hawa jamaa wana mkataba sio tuu wa kuwaruhusu kusomba mchanga wetu bali kutuibia mchana kweupe.

Utata wa real value is easy to resolve.
1. Kwa kufanya ukaguzi Accacia wamelipwa kiasi gani na wanunuzi, kisha kukokotoa 4% ya market value. Halafu tunapiga hesabu ya jumla tangu walivyoanza kutuibia, kisha tunawadai.

2. Serikali iyatumie hayo makontena 277 kama sample kwa kuyataifisha na serikali ndio iyauze mahala pengine kuchanjua na kulinganisha bei, then tunawadai the difference times makontena yote waliyosafirisha.

Paskali

Mimi kila nikifikiria akili za baadhi ya watanzania huwa naugua vidonda vya Tumbo.Hivi kweli mtu unawezaje kusimama from nowhere na kuanza ku-challenge Analytical report kama ile? Hao akina Change na wenzake wanafahamu nini juu ya Qualitative and Quantitative analysis? Yeye Chenge na wenzie ni lini nao wameenda kuchukua sample na kuzi-analyze na kukuta kwamba chemical compositions zilizotajwa na tume sio hizo? Tunaomba basi "Team Chenge" watupe chemical composition zao zinazo-refute za Tume ya Raisi.Na ndiyo nimesema baadhi ya watu Wa nchi hii wanaweza kukufanya uugue vidonda vya Tumbo hivi hivi.Chenge anathubutu kuongea unprofessionally kiasi hicho lakini hadi eti mpaka sasa bado ni mwenyekiti Wa Bunge! Hivi watanzania are we mad? Hilo bunge lina wabunge mad? Suala sensitive kama hill linalohusu maisha ya watanzania unasimama tu kama mtu anayekojolea kisiki unatoa stupid comments na watu wanakushangilia kama mazuzu? Hivi ile mizinga anayotumia Kim Jong Un Wa North Korea kudungua washenzi kama hawa hadharani imeisha au unaffordable? Tujichange tuinunue ili tu-set example! Huyu jamaa ni mshenzi sana.Hivi jamaa zangu walinda nchi kisirisiri wako what are they waiting? Kwa nini wasimfanye kama yule spy Wa Kirusi alivyoshughulikiwa na Putin? Hawa ndio economical sabotagers! Kudadeki!
 
Yaanii ile tume inashambuliwa hata na wana ccm wenzao ndani ya serikali na bunge! Sasa tumwamini nani? Kama Acacia walivyosema iundwe tume huru kwa balance hii issue ukweli ujulikane mapema!! Je Prof Mruma alikuwa anamfurahisha mfalme? Kudanganya kuna faida gani?
 
Mimi kila nikifikiria akili za baadhi ya watanzania huwa naugua vidonda vya Tumbo.Hivi kweli mtu unawezaje kusimama from nowhere na kuanza ku-challenge Analytical report kama ile? Hao akina Change na wenzake wanafahamu nini juu ya Qualitative and Quantitative analysis? Yeye Chenge na wenzie ni lini nao wameenda kuchukua sample na kuzi-analyze na kukuta kwamba chemical compositions zilizotajwa na tume sio hizo? Tunaomba basi "Team Chenge" watupe chemical composition zao zinazo-refute za Tume ya Raisi.Na ndiyo nimesema baadhi ya watu Wa nchi hii wanaweza kukufanya uugue vidonda vya Tumbo hivi hivi.Chenge anathubutu kuongea unprofessionally kiasi hicho lakini hadi eti mpaka sasa bado ni mwenyekiti Wa Bunge! Hivi watanzania are we mad? Hilo bunge lina wabunge mad? Suala sensitive kama hill linalohusu maisha ya watanzania unasimama tu kama mtu anayekojolea kisiki unatoa stupid comments na watu wanakushangilia kama mazuzu? Hivi ile mizinga anayotumia Kim Jong Un Wa North Korea kudungua washenzi kama hawa hadharani imeisha au unaffordable? Tujichange tuinunue ili tu-set example! Huyu jamaa ni mshenzi sana.Hivi jamaa zangu walinda nchi kisirisiri wako what are they waiting? Kwa nini wasimfanye kama yule spy Wa Kirusi alivyoshughulikiwa na Putin? Hawa ndio economical sabotagers! Kudadeki!
Hutashangaa ukiangalia kumbukumbu za bunnge sijui la ngapi alipokuwa akitetea takrima...Yaani that day I cried like a baby...
 
Nafikirri tuwe objective issue sio kudanganywa kwa rais na watanzania issue ni je kweli tunaibiwa hilo ndilo la msingi kuna watu wanataka kututoa kwenye reli au wanatamani wao ndio wanhesimamia issues hizi na sio Rais Magufuli,, rais kanyaga twende tuko pamoja uwe sahihi au la tuko pamoja maana unaongozwa na dhamira njema
 
Pasco kwanini tunadhani kamati/tume ya Mruma imemdanya rais?
Mkuu Buzuruga, rais amedanganywa kwa sababu the difference is too big, such that it's too good to be true!.

Na hii sio mara ya kwanza kwa rais wetu kudanganywa!. Baada ya Magufuli kuwa ndiye the one who pays the piper, then, he is the one calling the tunes!. Hao wajumbe wa hiyo kamati akiwemo yule profesa aliyemuandikia thesis yake ya Ph.D baada ya kujua anataka nini, kazi yao ikawa ni kumpatia tuu kile anachotaka kusikia!.

Mikataba ya madini inasema tutalipwa only 4% ya gross market value, hiyo hata kama ni kweli hiyo ndio thamani ya madini kwenye huo mchanga, bado halali yetu ni only 4% tuu na sio fedha alizoelezwa rais wetu!.

Sii Magufuli tuu amedanganywa hata Kikwete alidanganywa kwenye issue ya Richmond/Dowans akashauriwa tuuvunje mkataba hakuna kesi kwa sababu Richmond ni kampuni hewa!.

Zitto akashauri kama ni kampuni hewa tutaifishe mitambo au tuinunue!. Walioshauri tuvunje waligoma na kuwa hatiwezi kununua mitambo mtumba!.

Tukavunja mkataba tukazima mitambo tukawasha mitambo ya IPTL ambayo ni chakavu mara 10 ya Richmond na kwa ghrama mara mbili ya Richmond!. Sasa hizi ni akili au matope?!.

Tukashitakiwa tukatozwa faini. Wale wale walioshauri tuvunje mkataba wakashauri tusilipe na hadi kujiapiza "over my dead body" hatulipi!.

Japo ni kweli Richmond ilikuwa ni kampuni hewa lakini mitambo ya Richmond haikuwa mitambo hewa, ilikuwa ni mitambo kweli, na umeme uliozalishwa, haukuwa umeme hewa, ulikuwa ni umeme wa ukweli, hivyo malipo ya capacity charges yalikuwa malipo halali na kilichotokea kiukweli ni tozo ile tuilipa yote kwa siri na Watanzania wote tukaifidia kwa kupanda bili ya umeme!.

Baada ya Dowans kugeuka jina kuwa Simbion, Tanesco iliridia kulamba matapishi yale yale ya Richmond, mitambo ni ile ile, capacity charges ni ile ile na tuliendelea kulipa! .

Kuna vitu tunavifanya kwa mbwembe ila zinapo backfire mambo ni kimya kimya!. Sidhani kama kuna wengi humu wanaojua kuwa zile mbwembwe za samaki wa Magufuli zimetutokea puani!. Tunadaiwa na amri ya attachment ya mali za Tanzania zinazohamishika zikikamatwa popote, zinakuwa seized hadi tulipe meli na samaki wa watu. Subirini lini ATC itatua nje ya nchi, tutakumbushana humu unless tulipe na chanzo ni Magufuli huyu huyu tunayemshangilia leo!.

Paskali
 
Pasco kwanini tunadhani kamati/tume ya Mruma imemdanya rais?
Watu wameshaitwa wamekatiwa mpinga shehe wangu sasa hivi utasikia kelele za kila namna kutetea ACACIA muulize King Musukuma kabla hajawa mbunge alikuwa Mwenyekiti wa halmashauri Geita naye alianzisha vita na GGM aisee madiwani wenzake walimpigia kura ya kutokuwa naimani naye baada ya kufuta mpinga toka GGM
 
Mkuu Buzuruga, rais amedanganywa kwa sababu the difference is too big, such that it's too good to be true!.

Na hii sio mara ya kwanza kwa rais wetu kudanganywa!. Baada ya Magufuli kuwa ndiye the one who pays the piper, then, he is the one calling the tunes!. Hao wajumbe wa hiyo kamati akiwemo yule profesa aliyemuandikia thesis yake ya Ph.D baada ya kujua anataka nini, kazi yao ikawa ni kumpatia tuu kile anachotaka kusikia!.

Mikataba ya madini inasema tutalipwa only 4% ya gross market value, hiyo hata kama ni kweli hiyo ndio thamani ya madini kwenye huo mchanga, bado halali yetu ni only 4% tuu na sio fedha alizoelezwa rais wetu!.

Sii Magufuli tuu amedanganywa hata Kikwete alidanganywa kwenye issue ya Richmond/Dowans akashauriwa tuuvunje mkataba hakuna kesi kwa sababu Richmond ni kampuni hewa!.

Zitto akashauri kama ni kampuni hewa tutaifishe mitambo au tuinunue!. Walioshauri tuvunje waligoma na kuwa hatiwezi kununua mitambo mtumba!.

Tukavunja mkataba tukazima mitambo tukawasha mitambo ya IPTL ambayo ni chakavu mara 10 ya Richmond na kwa ghrama mara mbili ya Richmond!. Sasa hizi ni akili au matope?!.

Tukashitakiwa tukatozwa faini. Wale wale walioshauri tuvunje mkataba wakashauri tusilipe na hadi kujiapiza "over my dead body" hatulipi!.

Japo ni kweli Richmond ilikuwa ni kampuni hewa lakini mitambo ya Richmond haikuwa mitambo hewa, ilikuwa ni mitambo kweli, na umeme uliozalishwa, haukuwa umeme hewa, ulikuwa ni umeme wa ukweli, hivyo malipo ya capacity charges yalikuwa malipo halali na kilichotokea kiukweli ni tozo ile tuilipa yote kwa siri na Watanzania wote tukaifidia kwa kupanda bili ya umeme!.

Baada ya Dowans kugeuka jina kuwa Simbion, Tanesco iliridia kulamba matapishi yale yale ya Richmond, mitambo ni ile ile, capacity charges ni ile ile na tuliendelea kulipa! .

Kuna vitu tunavifanya kwa mbwembe ila zinapo backfire mambo ni kimya kimya!. Sidhani kama kuna wengi humu wanaojua kuwa zile mbwembwe za samaki wa Magufuli zimetutokea puani!. Tunadaiwa na amri ya attachment ya mali za Tanzania zinazohamishika zikikamatwa popote, zinakuwa seized hadi tulipe meli uuna samaki wa watu. Subirini lini ATC itatua nje ya nchi, tutakumbushana humu unless tulipe na chanzo ni Magufuli huyu huyu tunayemshangilia leo!.

Paskali
Sijui kwa nini natamani kukutukana but samahani sana,mimi nilijua unapinga hiyo report kwa sababu umepima kumbe unaleta utaalamu wako wakupamba maneno
 
Mimi kila nikifikiria akili za baadhi ya watanzania huwa naugua vidonda vya Tumbo.Hivi kweli mtu unawezaje kusimama from nowhere na kuanza ku-challenge Analytical report kama ile? Hao akina Change na wenzake wanafahamu nini juu ya Qualitative and Quantitative analysis? Yeye Chenge na wenzie ni lini nao wameenda kuchukua sample na kuzi-analyze na kukuta kwamba chemical compositions zilizotajwa na tume sio hizo? Tunaomba basi "Team Chenge" watupe chemical composition zao zinazo-refute za Tume ya Raisi.Na ndiyo nimesema baadhi ya watu Wa nchi hii wanaweza kukufanya uugue vidonda vya Tumbo hivi hivi.Chenge anathubutu kuongea unprofessionally kiasi hicho lakini hadi eti mpaka sasa bado ni mwenyekiti Wa Bunge! Hivi watanzania are we mad? Hilo bunge lina wabunge mad? Suala sensitive kama hill linalohusu maisha ya watanzania unasimama tu kama mtu anayekojolea kisiki unatoa stupid comments na watu wanakushangilia kama mazuzu? Hivi ile mizinga anayotumia Kim Jong Un Wa North Korea kudungua washenzi kama hawa hadharani imeisha au unaffordable? Tujichange tuinunue ili tu-set example! Huyu jamaa ni mshenzi sana.Hivi jamaa zangu walinda nchi kisirisiri wako what are they waiting? Kwa nini wasimfanye kama yule spy Wa Kirusi alivyoshughulikiwa na Putin? Hawa ndio economical sabotagers! Kudadeki!
Kweli ukista ajabu ya mussa utayaona ya filauni.kwanini hushangai kuendelea kuiona serikali iliyo fanya huu ujinga bado watanzania inawaongoza?haushangai kuona wabunge wa ccm wakimpongeza raisi kwa anacho kifanya lakini wao ndo walio tufikisha hapa?yaani basi tuu mungu atupe upeo atuondolee Unafiki
 
Tatizo letu watanzania tumekazania eti tunaibiwa Mali zetu kama dhahabu.
Sio kweli, sisi hatuibiwi kitu kama kitu Bali tunaibiwa ktk sheria.
Kwa hiyo kama tunataka kweli kupambana na hawa watu yatupaswa tupige kelele kuhusu sheria zinazohusu hii mikataba na wala si kupiga kelele kuwa tunaibiwa dhahabu kwani kwa kufanya hivyo hatutamaliza tatizo
 
Hutashangaa ukiangalia kumbukumbu za bunnge sijui la ngapi alipokuwa akitetea takrima...Yaani that day I cried like a baby...

Sasa imetosha! System imufundishe adabu! Hatuwezi kuendelea na huu ujinga na upuuzi.Yeye akimaliza kuongea hivyo anapanda VX linampeleka hoteli ya nyota tano. Mwananchi Wa kawaida akimaliza kusikitika anaingia kwenye Nyumba ya tembe analala njaa tena akiwa juu ya ngozi ya ng'ombe.Very sad!
 
Back
Top Bottom