OTHMAN BEY
Member
- Jun 20, 2026
- 74
- 123
Kinacho waponza watu wa vijijini ni ile hali ya ujuaji mwingi na ku-mind other people's business. Akijiona kafanikiwa yeye basi anataka awe ndio mwalimu wako na boss wako pia ikiwezekana.Alafu hao wa mjini ndio washamba kupitiliza, hawajui kutumia fursa, watu wanatoka vijijini wanatajirika, wanamiliki nyumba, wa mjini wapo tu wanashindana kulewa, kutikisa makalio kwenye mitandao ya kijamii, kuvaa uchi na kuuza mikundu alafu hayo ndio wanaita ujanja.
Kwanza tujuane team vijijinimshamba_hachekwi njoo ujibu mada
Wapo wengi tu japo watakukana mzee! Ndio ushamba unapoanzia!Kwanza tujuane team vijijini
"Mshamba" ni neno la kejeli tu. Utaitwa mshamba mtu asipokubaliana na wewe hata kwa jambo dogo tu.mshamba_hachekwi njoo ujibu mada
Ooh okay! Kwahiyo wanaosemaga ushamba +confidence ni combinenga mbaya huwa wanamaana gani?"Mshamba" ni neno la kejeli tu. Utaitwa mshamba mtu asipokubaliana na wewe hata kwa jambo dogo tu.
Neno lenyewe limetokana na "shamba". Watu wa mjini walijiona wanafaidi sana.
Kuna muda ushamba ni mzigo, na kuna muda ushamba ni faida pia.
Kejeli tu hizo. Huwezi kujua kama wewe ni mshamba mpaka uambiwe.Ooh okay! Kwahiyo wanaosemaga ushamba +confidence ni combinenga mbaya huwa wanamaana gani?
Huwo sio ushamba uko ni kuona na kutumia fursa huwezi sema mtu alietoka kijijini akaja fanikiwa town uwo ni ujanja hapana, maana hao wanaotoka kijijini na kuja kufanikiwa twn ni 1 kati ya 500Alafu hao wa mjini ndio washamba kupitiliza, hawajui kutumia fursa, watu wanatoka vijijini wanatajirika, wanamiliki nyumba, wa mjini wapo tu wanashindana kulewa, kutikisa makalio kwenye mitandao ya kijamii, kuvaa uchi na kuuza mikundu alafu hayo ndio wanaita ujanja.