B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,582
- 3,272
UKISIKIA PAAH....UJUE IMEKUKOSA,vipi waungwana.kuna kitu nimekumbuka.ushawai kuvamiwa na majambazi au kunyongwa na kuporwa kila kitu,sita kaanisahau hii siku licha ya ujanja wangu wote wa mjini watu waliniweza,ilikuwa mwaka 2009 mkesha wa mwaka mpya nikiwa natoka sababa saba na elekea impala hotel nilikuwa mimi na ndugu yangu kwa vile tulikuwa tumelewa tukaasema saa izi tushuke tu kwa mguu bana sio mbali,hamadi nikakutana na vijana kama tisa wanatokea kona ya meza luna,asee walitupiga mbaya mpaka pombe ikaisha,wakatuibia kila kitu ikabidi safari ife turudi nyumbani....hahaha ilikuwa worse new year asee.we unakumbuka tukio gani...