Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Kitakuwa cha mtumba. Unajua Dar kila mteja ana bei yake. Ukienda wewe utapigwa hadi 35,000/:sleepy:Duh hicho kiatu cha 3,500/= kikoje unaweza kutupia picha tafadhali.
Hichi kikali kitanifaa sana kwa kuangalia ngoma za kizaramo , nakaa nyuma kabisa namwona mwali bila shida wala malalamiko ya uandunjeKitakuwa cha mtumba. Unajua Dar kila mteja ana bei yake. Ukienda wewe utapigwa hadi 35,000/:sleepy:
Watu wa DAR tunakula ili tusife.....