........shikamana!
Baada ya jambo fulani jana nilijikuta nafikiria kuhusu watu wanavyoBEHAVE kwenye mahusiano.Wengine utakuta wanaendekeza KIBURI...wengine KUDEKA...wengine KULALAMIKA...n.k
Vyote hivi vikizidi kwakweli vinaweza kuvunja mahusiano maana INABOA/CHOSHA...kuna mtu unakuta hata akikosea yeye samahani mwiko.Hata ukimuwia mpole japo ye ndo mwenye kosa inakua bado haitoshi....yani kiburi chake ndo kinamtawala.
Wale walalamikaji nao yani utadhani ulimwengu mzima kabebeshwa yeye....kila saa kama anataka kulia..kila kitu ye ni kama anaonewa.Hata akifanya kosa kulia atalia yeye ...na kubembelezwa atabembelezwa yeye.Hawa wadekaji maarufu ndo kabisaaa...mtu kadri unavyombembeleza ndivyo anavyozidisha!Yani utadhani mashindano...mpaka mwisho wa siku mtu unaamua kumpotezea tu!
Nnachosema ni kwamba...mapenzi sio kukomoana jamani!Kila kitu fanya kwa kiasi!Wapenzi/wenza hawatakiwi kua na ushindani...labda kama mnashindana kuonyeshana mapenzi na sio nani kinara wa kulalamika au nani mwenye kivuri zaidi ya mwenzie!Hivyo basi ukishokwa shikamana...ukielezwa elewa...ukipendwa pendeka...ukiheshimiwa heshimu na heshimika pia!
Siku njema....lunch ugali wa maharage leo...ama kuna mtu kapika nyama naomba mwaliko!!!
kuna mtu kapika nyama naomba mwaliko!!!
huyo mwenye kudekezwa kihivyo nae ana gubu lake la kuzaliwa khaaa...
Mapenzi natamani yasingekuwepo yanauzi sana
mhh apana....yangekwepo ila kwa semester moja tu ya pili yangenda likizo!!!!!
mwezi wa 1-6 mapenzi motomoto mwez wa 7-12 yangeenda likizo ili kusiwe na kuboana wala kuchokana..
mhh apana....yangekwepo ila kwa semester moja tu ya pili yangenda likizo!!!!!
mwezi wa 1-6 mapenzi motomoto mwez wa 7-12 yangeenda likizo ili kusiwe na kuboana wala kuchokana..
Mmmhhh Hapana YASINGEKUWEPO KABISAAAAA maana kipindi cha mapenzi ingekuwa noma sana watu wasingefanya kazi na wengine wangelazimisha hata wakati yakiwa leave wafanye tu...... mi nafikiri( japo simlaumu MUNGU wetu) tusingekuwa na hivi vidude viwilil miilini mwetu....Vinabore sana.
hahaha....halafu hayanaga bahati haya, kuna aliyebahatika kuwa kwenye mapenzi motomoto mwanzo mwisho? mwaka unapita mpo kama paradise vile?
Mimi hizi uzi zako zinanichanganya saana Partner... zinzongea mule mule;
kunichanganya kunakuja kutokana na wewe kutokuemo humo kama sisi but
sometimes i feel you know more than sisi wahusika.... Dah! :doh:
Despite kua you are my MP Napenda your threads, so educative