Lucas mwashamba
Member
- Jul 30, 2025
- 97
- 324
Penye r kuweka l si sawa. Huu si mwandiko wake😅🤣 Twende kazi
Akina Lukasi hao🤣Another innocent neck carrying a rotten pumpkin head
Ko wewe Lucas mwashamba, yule Lucas Mwashambwa hahaha 😂
Your problem is your buttocksare making you overweight,Another innocent neck carrying a rotten pumpkin head
Ko wewe Lucas mwashamba, yule Lucas Mwashambwa hahaha 😂
So you're on top of lck dck?Your problem is your buttocksare making you overweight,
Bo,
You will be ruined
Ndugu yangu nimebadilika hakika nyie ni wema najua mmenisamehe hata ndugu yangu chiembe nae kanambia kesho atatubuIla kweli mods haya mambo muyathibiti watu wanapatia ugali wao kupitia uchawa huku NI kuharibiana
Ndugu yangu nimebadilika hakika nyie ni wema najua mmenisamehe hata ndugu yangu chiembe nae kanambia kesho atatubu
TUndu Lissu ni Kama Daudi tu, hata kama ni ID mkanganyiko, ulicho andika ni cha kweli.Ndugu zangu watanzania ukweli Leo nimebubujikwa na machozi mengi ya furaha baada ya kuona Wana JamiiForums wenzaungu wamenisamehe na kuniona mi ni mwenzao na ukweli nimetubu dhambi zangu mana nilikuwa nimechagua njia ya uovu na Sasa nimerudi kwenye njia ya haki na naimani sitapotea Tena ndugu zangu watanzania
Mniombee ndugu yenu mpambanaji wenu na naapa tarehe 13 nitakuwepo kisutu kufatilia kesi ya shujaa wetu raisi wetu kipenzi chetu na baba yetu TUNDULISU naomba watanzania wote kwa ujumla tumuombee Dua mkombozi wetu mana anaenda kuachiwa na kuwa huru na kwenda kuchukua ikulu nami nimechagua njia ya haki na naombeni ndugu zangu rafiki zangu kaka zangu dada zangu tuungane kumtetea shujaa wetu TUNDULISU
Maana ndo mkombozi wetu na hakika furaha aliyokua nayo gerezani Kuna mtu yupo uraiani Hana basi itoshe kusema lisu ndo kiongozi anayetufaa watanzania wapenda haki na usawa wa kisheria Mungu Ibaliki CHADEMA mungu mbaliki TUNDULISU Mungu Ibariki TANZANIA
Wewe ni mkewe upo naye hapo kitandan...?Penye r kuweka l si sawa. Huu si mwandiko wake
HahahaWanyiha mnajulikana kwa roho mbaya.
Sasa nawaita ndugu Lucas Mwashambwa na ndugu Lucas Mwashamba mmalizane kule kumbozi.
Hapa naongea kama kaka yenu Mwampashe
Ukweli nimebubujikwa na machozi mengi ya huzuni kuona Kuna mtu kaniibia jina langu afu kajimilikisha yeye naumia sana
Kitanda hakizai haramu ila huyu Lukas mwashambwa yeye ni mwanaume nusu na Mimi ni mwanaume niliyekamilika kwahiyo ni kweli tupo tofautiIgeni na langu
Ila kiukweli Lucas Mwashamba na Lucas Mwashambwa ni majina mawili tofauti na hayana uhusiano.
Roho mbaya ya kinyiha ndio inawatafuna.