Nini faida ya sikukuu hiyo kwa utamaduni wetu?
Bangi ni haramu na ipigwe vita kwa nguvu zote.
Masikukuu ya kijinga kama haya clouds wakiyaona wanaanza kuyapigia debe na kuyapromote hatimaye kutuharibia vijana wetu.
Lady jay dee ana mpango wa kuleta sikukuu ambapo kila kitu haramu kitatumika siku hiyo.