Moto wa volcano JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 2,508 Reaction score 6,213 Jul 3, 2026 #1 kuna nchi za ulaya ukisafiri kama haujafanya booking ya hotel na hauna kiwango cha pesa cha kutosha wana ku deport back . Hivi kuna nchi ya Afrika wapo strictly hivoo
kuna nchi za ulaya ukisafiri kama haujafanya booking ya hotel na hauna kiwango cha pesa cha kutosha wana ku deport back . Hivi kuna nchi ya Afrika wapo strictly hivoo
Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2010 Posts 7,915 Reaction score 14,638 Jul 4, 2026 #3 Tanzania ukiingia kuja kwenye kesi ya Lissu wana kudeport.... Bila hvyo we njoo na sura yako unaingia tu.
Tanzania ukiingia kuja kwenye kesi ya Lissu wana kudeport.... Bila hvyo we njoo na sura yako unaingia tu.
Moto wa volcano JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 2,508 Reaction score 6,213 Jul 4, 2026 Thread starter #4 Adolfms said: Tanzania Click to expand... Hhhhhh una ugomvi na jamhuri
Moto wa volcano JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 2,508 Reaction score 6,213 Jul 4, 2026 Thread starter #5 Mhandisi Mzalendo said: Tanzania ukiingia kuja kwenye kesi ya Lissu wana kudeport.... Bila hvyo we njoo na sura yako unaingia tu. Click to expand... Sikujua hiloo kumbe na TZ ina Deport
Mhandisi Mzalendo said: Tanzania ukiingia kuja kwenye kesi ya Lissu wana kudeport.... Bila hvyo we njoo na sura yako unaingia tu. Click to expand... Sikujua hiloo kumbe na TZ ina Deport