Mfano umetoka kuoga kwenye vyoo vyetu vya uswahilini ambavyo viko mbali na chumba akatokea mtoto au chizi akakupora taulo ilihali ndani huna kitu kabisaaaaa.......je utafanyaje?
Hii inafanana na swali lingine la kizushi; umebeba mtoto huku unamrusharusha juu, chini umevaa taulo likaponyoka ghafla mtoto akiwa juu, utadaka mtoto au kuokota taulo?