Ukipokea tu kosa Watu mbioooo

hii inafaa sana kwa mitaa ya mwenge, buguruni chama, mbagala rangi 3, tandale kwa mtogole, manzese na sehemu nyingine korofi za jiji la makamba!!
 
Ukiitoa tu hata police wanakimbia kkkkkk
 
Siyo kwamba uoga wa kuibiwa ndiyomunazidi kuongezeka kwa sababu utakapopokoknywa bsikioni unaomngea utakuwa umeibiwa simu pamoja na bunduki pia. Sasa si afadhali umeibiwa simu peke yake?
 
hii inafaa sana kwa mitaa ya mwenge, buguruni chama, mbagala rangi 3, tandale kwa mtogole, manzese na sehemu nyingine korofi za jiji la makamba!!

hivi hili jiji bado la makamba eeeeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…