AskariKanzu
Member
- Jul 25, 2025
- 38
- 146
wapi huko ambako watu wanapitia misoto halafu wanamiliki laptop?Ukiwa kwenye msoto mkali toweka kwa miaka miwili na fanya yafuatayo
1. Miliki kompyuta mpakato.
2. Jifunze ujuzi - copywriting, content creation, programming na video editing.
Kuwa bora kuliko jana yako weka umakini na nidhamu hutojutia.
Inategemea nsoto na nsoto