Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,046
- 288,487
Kuanzia Samia, Mchengerwa, Katibu wa Rais na Mtoto wa Rais Abdul wote wangekuwa jela.Kama ingekuwa ni ukweli CHAUMMA yote ingeishia jela.
check sasa mpokea rushwa anavyoweka vigezo vyake vya kukataa au kukubali kupokea rushwa.Inategemea na kiasi cha fedha mpaka kuwapigia TAKUKURU πΉ
Kuanzia laki sipigi simu, kwanza wangeanza na chauma km kweli wako seriousβ¦!!
Takukuru mavi kabisa rushwa za CCM hawazioni? Kampeni zimeanza kabla ya muda wakeKauli hiyo Kabambe imetolewa na Taasisi ya Kuzuia Rushwa nchini Tanzania.
Taarifa yao hii hapa
View attachment 3351902View attachment 3351903
Pichani chini ni Mwananchi wa Tanzania akifurahia namna Takukuru ilivyoamua kukomesha Watoa Rushwa
View attachment 3351904
Toa Maoni yako
Tangu lini mimi nikawa Takukuru?KWANI WEWE SI HAMSHIRIKI UCHAGUZI SASA HAYA YA RUSHWA NA UCHAGUZI WAPI NA WAPI?
Usituletee Ugwajimanize wewe!Takukuru mavi kabisa rushwa za CCM hawazioni? Kampeni zimeanza kabla ya muda wake
Naona hawaoni kama ni rushwa ile ,pikipiki zina jina la mgombea na picha ya mgombea kabla hata ya muda, kampeni zimesha anza mapema sanaTAKUKURU wamejitia upofu MAVI kabisamapikipiki yamejaa mtaani hawayaoni?
We kwenda zako, nyie veggies ndo wala cake ya taifa halafu mtuletee laki kwa akili zako tutakataa? πΉπΉcheck sasa mpokea rushwa anavyoweka vigezo vyake vya kukataa au kukubali kupokea rushwa.
Eti unategemea ni shilingi ngapi dah?π
Ni kazi kubwa mno, lakini inawezekana π
ππMchongo ndio huu sasa