Hakuna jibu la direct hapa, unless kama hii ni nahau.
Jibu inategemeana na context inayozunguka tukio hilo.
Kama ni kijijini, kama kule kwangu CHOLE-SAMVULA, sihitaji tarakilishi, wala kikokotozi...chanini wakati sina nishati ya umeme, ni nyaya tu zimepita huku zinaenda darisalama?
Kwa huku nitachagua Barabara!lol!