Kuna wakati tunatakiwa kuheshimu hisia za mtu hasa akupendae..
Kuna manzi nilimtongoza akachomoa kama mara tatu, kwa kuwa huwa sina tabia ya kubembeleza sana niliamua kuachana nae. Sasa baada ya miezi kadhaa ameanza kunitumia sms za kunitega ili niendeleze mtongozo, kwa hapa nampa maumivu.
Akitaka kuwa nami lazima anieleze yeye mwenyewe kuwa amenipenda la sivyo imekula kwake. Siwezi kukulazimisha mie kwa miezi kadhaa kukutongoza. Kama umo humu bidada sahau kukutongoza tena.
haaaaaaaa nashukuru sikupoteza muda kiviiiiiiile Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kwa Smart911 teinaaaaaaaaa ningepitwa na bahati na am sure sasa kiti kingekua kinakaliwa na mwingine..