Ukipata ajali halafu watu Wa media wafike kabla ya ambulance

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,463
Ajali
1453385485590.jpg
 
Ni watu WA media MKUU ndo wamemwambia majeruhi aweke pozi
Hapo anasubiri ambulance
 
Soma Kwa makini utaelewa ni vipi hiyo ni news
Husanisha na wandishi wa kibongo au watu wanaoanzaga kufika kwenye ajali na simu zao zinazowatia ushamba, badala ya kusaidia wanapiga picha.
 
Dah nimefungua hii link nilidhani Kuna hoja nzito ya kujadiliwa. Pumba tupu! Hizi heading tunazielewa lkn au ndio zile za magazeti ya udaku?
 
Back
Top Bottom