Emma M Bai
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 223
- 126
Nimeomba msaada Google ili watusaidie kutuelewesha.Aliyeelewa anielweshe
Hapana mdau ...mfano nilipamga nyumba mpyaaa Niko peke yangu ndio naanza maisha chumba na sebule self 2010 ... Nyumba ilikuwa na vyumba sita vyote sebule na self. Ghafla bin vuu wiki iliyofuatia waliamia wasichana vyumba vyote vilivyobaki na tuliajiriwa nao full singles ... Ila nilikula Bata Sana ... Maana sikupika mpaka nahama hapo Leo unaalikwa huku kesho kule yaani hoyahoya tu. Mmoja wapo akatokea kuwa mkwangua vocha basi freeesh nikiwa na vocha zangu naenda anakwangua naingiza vocha fresh mazungumzo ya kimwili yanaendeleaWewe unajua fika kuwa hiyo Nyumba ni ya wanawake Halafu unapanga hapo then unalalama, which type of banana are you?
Ohooo, vijana wa Dar ngoja waje na izoefu wao. Ingawa nimepata tabu sana kuielewa hii post
Daaa bas mi ninaakili ndogo , mana sihaelewa kabisa
????????
Aliyeelewa anielweshe
Sasa ndio umeandika nini?
mleta thread anasisi wengine vilaza.. kuelewa ngumu
Mleta thread anasema hivi: UKIPANGA NYUMBA MOJA NA WANAWAKE WENGI, WANAKUWA WANA MANENO MENGI SANA, KWA MFANO IKITOKEA ULIKUWA NA MWANAMKE NDANI KWAKO, HALAFU UKATOKA NJE UNATOKWA NA MAJASHO, BASI HAO WAPANGAJI WENZAKO WATAANZA KUONGEA MANENO MENGI MENGI JUU KAMA HAYO ALIYOYAORODHESHA HAPO JUUKuandika kipaji na si kila mtu anacho
[emoji23][emoji23]Nimeomba msaada Google ili watusaidie kutuelewesha.
Wee kweli ulimuelewamleta thread ana
Mleta thread anasema hivi: UKIPANGA NYUMBA MOJA NA WANAWAKE WENGI, WANAKUWA WANA MANENO MENGI SANA, KWA MFANO IKITOKEA ULIKUWA NA MWANAMKE NDANI KWAKO, HALAFU UKATOKA NJE UNATOKWA NA MAJASHO, BASI HAO WAPANGAJI WENZAKO WATAANZA KUONGEA MANENO MENGI MENGI JUU KAMA HAYO ALIYOYAORODHESHA HAPO JUU
*Ndo maana hanenepi
*Kulegezeana K tu
*Anatoa Salam ndeefu nikamshitukia
*Hapo bado yule mwembamba
*Itabid ahame tu hizi sifa
*Kila siku anakula matikit
*Atamkondesha mtoto wa watu
*Me hata simtaki hata kama ata nipa kigari chake bure
*Kujitakia maradhi tu
mleta thread ana
Mleta thread anasema hivi: UKIPANGA NYUMBA MOJA NA WANAWAKE WENGI, WANAKUWA WANA MANENO MENGI SANA, KWA MFANO IKITOKEA ULIKUWA NA MWANAMKE NDANI KWAKO, HALAFU UKATOKA NJE UNATOKWA NA MAJASHO, BASI HAO WAPANGAJI WENZAKO WATAANZA KUONGEA MANENO MENGI MENGI JUU KAMA HAYO ALIYOYAORODHESHA HAPO JUU
*Ndo maana hanenepi
*Kulegezeana K tu
*Anatoa Salam ndeefu nikamshitukia
*Hapo bado yule mwembamba
*Itabid ahame tu hizi sifa
*Kila siku anakula matikit
*Atamkondesha mtoto wa watu
*Me hata simtaki hata kama ata nipa kigari chake bure
*Kujitakia maradhi tu
Wee kweli ulimuelewa
hahahah, thread zingine hadi sisi wambeya waandamizi ndio tunaweza kuzielewa fasta. hahahahahhah.Kumbe alimaanisha hivi mbalizi1 njoo
meandika kama unakimbizwaOhooo, vijana wa Dar ngoja waje na izoefu wao. Ingawa nimepata tabu sana kuielewa hii post