Kumbe anaitwa baunsa eh! na hivi bado unasoma, namtafutia namna ya kumfungulia kesi ya kumpa lifti binti wa mtu bila idhini ya mzazi..................Lazima nimfunge tu.......................

Baba njaa yako ya pesa hiyo itakutokea puan! Baunsa sio jina lake ni kazi yake sasa km unataka kukumbukia yalokukuta enzi zile ulipokua unamuiga bruc lii,kwa kulia km nyau kuwatishia wale mabaunsa wakakusulu,Chezeiya!!!!!