Ukiona ujumbe huu kwa Mwanamke, bora ujifanye mtandao unasumbua

Ukiona ujumbe huu kwa Mwanamke, bora ujifanye mtandao unasumbua

msuyaeric

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
862
Reaction score
1,264
Pisi ina Siku Tatu inajifanya ipo busy kichizi ooh narudi usiku mara blabla nyingi weee (huyu ni mchepuko Nina demu wangu mzuri sana kuliko Demu yoyote Yule hapa Duniani)

Kila nikiomba tuonane visababu vingi Mno.. sasa mara paa katuma txt nikwambie kitu.. ili kulinda chama la Wana nikajua hapa either napigwa Tukio au show imetick.

Hahaha kufungua Tu txt Nyama inaomba Pesa 15 bure bure Tu Yaani

Sasa hiyo 15 si Bora nimnunulie mpenzi wangu bads bunda 3 na biskuti za chocolate najua atafurahi Sana kuliko kumpa mchepuko afu ubusy mwingi mbunye yenyewe usikute ina UTI tu.

IMG_20220715_140405_977.jpg

NB: Nimeambatanisha na Picha sitaki Unafiki

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Mjukuu wangu yani unaombwa 15 unakuja kutangaza huku mwanaume kutokua Na hela ni aibu sana ,uanaume ni mipango ya pesa siyo mipango ya mbunye nipe number ake uyo binti anaonekana ni wife material Na hapendi pesa yani tsh 15
 
Hahah huo ni Mwanza Babu.. Leo 15 kesho 30 kesho kutwa 50 hapo ananipima Tu

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Mjukuu wangu yani unaombwa 15 unakuja kutangaza huku mwanaume kutokua Na hela ni aibu sana ,uanaume ni mipango ya pesa siyo mipango ya mbunye nipe number ake uyo binti anaonekana ni wife material Na hapendi pesa yani tsh 15
Sio sina Hela ila nawaza huyu Demu kuwasiliana juzi Leo anaomba pesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo ndo nawaza sana

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Nyie mbona huwa mnaomba K mapema na hamjishangai??
Sasa K na pesa NI vitu viwili tofauti

Pesa: inatafutwa Kwa jasho la mtu ambalo wewe huwezi kumantain

K: hiyo hipo tu ni kusuuzwa Tu na Mambo mengine

So usifananishe K na PESA ni Vitu viwili tofauti na havifanani Kabisa

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom