Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,453
- 40,442
Hujawahi kuona wenye mfanano?Acha mawazo ya ajabu
Wewe inaonekana utarithi au umerithi tabia mbovu za mume wako kama unayeMm nachojua baada ndoa watu huanza hufanana tabia kama mmoja wenu mchoyo,
Wote mtakua wachoyo,roho mbaya, ubinafsi yani utapata tabia za mwenzio zote,kila kitu sometimes hufanana kweli
We pambana na upepo tu hakuna shidaWewe inaonekana utarithi au umerithi tabia mbovu za mume wako kama unaye
Mambo ni machacheWe pambana na upepo tu hakuna shida
ha ha ha haKuna mume wa mtu hafanani na mkewe ngoja nikaze kamba huwenda mimi ndo tunafanana
Utafiti wa hovyo huu kabisaWakuu mlishawahi kusikia, watu wakisema fulani amefanana na mkewe/mumewe?
Ile inatokana na nguvu za nafsi zao kupendana, na kila mmoja kumhisi mwenzake ndio chaguo sahihi. Na hata katika maisha yao wanakuwa hawachepuki, wala hawatengani, hata migogoro ya hapa na pale inakuwa haipo. Akiugua mmoja awe mke au mme, mwenzake lazima nafsi imuume na ikitokea mmojawapo akafariki, mwenzake hawezi kuchukua muda mrefu au miaka mingi bila kufariki. Hii ni Kutokana na kuishi muda mrefu pamoja, pamoja na nafsi zao kuungana inapelekea muonekano wa sura zao kufanana. Na hata wakiwa wazee, wote upenda kutembea pamoja. Kibaharia tunasema ni mtu na pacha wake.
Je, wewe na huyo uliyenaye ni pacha wako?
AiseeMm nachojua baada ndoa watu huanza hufanana tabia kama mmoja wenu mchoyo,
Wote mtakua wachoyo,roho mbaya, ubinafsi yani utapata tabia za mwenzio zote,kila kitu sometimes hufanana kweli
😂😂😂😂Kuna mume wa mtu hafanani na mkewe ngoja nikaze kamba huwenda mimi ndo tunafanana
Hahahahaha jinga kweli ww dada.,.....ww sio mkwere au mundengereko wa dar kweli?.... Komaaa naye... utatoboaKuna mume wa mtu hafanani na mkewe ngoja nikaze kamba huwenda mimi ndo tunafanana
mndengereko mtani wangu. Nakaza kamba hapa naona kama mti unasogea upande wanguHahahahaha jinga kweli ww dada.,.....ww sio mkwere au mundengereko wa dar kweli?.... Komaaa naye... utatoboa
Wakuu mlishawahi kusikia, watu wakisema fulani amefanana na mkewe/mumewe?
Ile inatokana na nguvu za nafsi zao kupendana, na kila mmoja kumhisi mwenzake ndio chaguo sahihi. Na hata katika maisha yao wanakuwa hawachepuki, wala hawatengani, hata migogoro ya hapa na pale inakuwa haipo. Akiugua mmoja awe mke au mme, mwenzake lazima nafsi imuume na ikitokea mmojawapo akafariki, mwenzake hawezi kuchukua muda mrefu au miaka mingi bila kufariki. Hii ni Kutokana na kuishi muda mrefu pamoja, pamoja na nafsi zao kuungana inapelekea muonekano wa sura zao kufanana. Na hata wakiwa wazee, wote upenda kutembea pamoja. Kibaharia tunasema ni mtu na pacha wake.
Je, wewe na huyo uliyenaye ni pacha wako?
Nikitembea na manzi wangu wanasema et tumefanana sana inanikera kunifananisha na mwanamkeWakuu mlishawahi kusikia, watu wakisema fulani amefanana na mkewe/mumewe?
Ile inatokana na nguvu za nafsi zao kupendana, na kila mmoja kumhisi mwenzake ndio chaguo sahihi. Na hata katika maisha yao wanakuwa hawachepuki, wala hawatengani, hata migogoro ya hapa na pale inakuwa haipo. Akiugua mmoja awe mke au mme, mwenzake lazima nafsi imuume na ikitokea mmojawapo akafariki, mwenzake hawezi kuchukua muda mrefu au miaka mingi bila kufariki. Hii ni Kutokana na kuishi muda mrefu pamoja, pamoja na nafsi zao kuungana inapelekea muonekano wa sura zao kufanana. Na hata wakiwa wazee, wote upenda kutembea pamoja. Kibaharia tunasema ni mtu na pacha wake.
Je, wewe na huyo uliyenaye ni pacha wako?
Wakuu mlishawahi kusikia, watu wakisema fulani amefanana na mkewe/mumewe?
Ile inatokana na nguvu za nafsi zao kupendana, na kila mmoja kumhisi mwenzake ndio chaguo sahihi. Na hata katika maisha yao wanakuwa hawachepuki, wala hawatengani, hata migogoro ya hapa na pale inakuwa haipo. Akiugua mmoja awe mke au mme, mwenzake lazima nafsi imuume na ikitokea mmojawapo akafariki, mwenzake hawezi kuchukua muda mrefu au miaka mingi bila kufariki. Hii ni Kutokana na kuishi muda mrefu pamoja, pamoja na nafsi zao kuungana inapelekea muonekano wa sura zao kufanana. Na hata wakiwa wazee, wote upenda kutembea pamoja. Kibaharia tunasema ni mtu na pacha wake.
Je, wewe na huyo uliyenaye ni pacha wako?
Huo utafiti umefanyia wapi na kwa muda ganiWakuu mlishawahi kusikia, watu wakisema fulani amefanana na mkewe/mumewe?