πππππ na sie ni watu jamani sio mashine.Mleta mada, umeona positive side pia, siyo unawaza tu hupendwi kumbe unafundishwa kutafuta dough zaidi[emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa, pigeni kazi bana ndiyo jukumu mlilopewa na Muumba, siye tunatumiaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,so vizinga vingi nataka ujitume zaidi yaani ujue kabisa hapa bila pesa huyu mke,girlfriend nampoteza[emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na sie ni watu jamani sio mashine.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ sawa jiandae na bebiHahaaa, pigeni kazi bana ndiyo jukumu mlilopewa na Muumba, siye tunatumiaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,so vizinga vingi nataka ujitume zaidi yaani ujue kabisa hapa bila pesa huyu mke,girlfriend nampoteza[emoji3] [emoji3]
mkuu hadi wew una lalamika π ππππππ na sie ni watu jamani sio mashine.
Sio poa yani π€£π€£π€£mkuu hadi wew una lalamika π π
Mwanamke matunzo brother, ukihisi vice versa ujue umechukua ambaye sio type/ size yako.1.Hakupendi
2.Changudoa
3.Njaa iliyopitiliza..
"Maendeleo hayana chama"
Sent using Jamii Forums mobile app
BAbu kuna wadada na talanta kwenye kuomba hela aiseeWanawake wengine hata mizinga hawapigi tunajipiga wenyewe.
Kisha tunakuja kulalamika.
Mrembo Atoto pesa zangu nimezishonea kwenye godoro(ukilala unaota ndoto nzuri nzuri),so we njoo tu ghetto,utazilalia utacheza nazo na utaondoka na kiasi chochote unachotaka.Wacha bwana!!
Hebu fanya kamchakato ka muamala basi.
[emoji3][emoji3][emoji3]Mrembo Atoto pesa zangu nimezishonea kwenye godoro(ukilala unaota ndoto nzuri nzuri),so we njoo tu ghetto,utazilalia utacheza nazo na utaondoka na kiasi chochote unachotaka.
[emoji736][emoji736][emoji736]Hujalazimishwa kutoa pesa. Kama ni kutoa toa. Kama ni kuacha acha.
By the way unaombwa kama hutoi. Kama unatoa huwezi kuombwa ombwa.
Kumbuka. Mkeo anayohaki ya kukuomba hela. Hao kunguni wengine sio lazima. Ila kwa mkeo ni lazima.
Hakuna raha kama kuombwa na Mkeo pesa. Wanawake walioolewa wanajua utamu wa kumuomba mume pesa.