ukiona mtu anasema sikusikii...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ukiona mtu anasema sikusikii......

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pota, Jun 2, 2011.

 1. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  ni kawaida kwa watu kupigiana cmu then wakaanza maongezi kwa salamu nk kamailivyo jadi yetu.
  cha kushangaza ni kwamba kama mmojawapo anadaiwa mathalani hela, utashangaa kusikia
  akisema; umesema... ehee....sikusikii.... unakatikakatika.....ongeza sauti.......hapa pana kelele
  ........network iko low kabisaa......ntakutafuta badae.......chaji inakata.....nk. hapo ujue mtu anakwepa madeni. kwanini
  network isumbue ulipoanza kudaiwa?
   
 2. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  hii ipo pia kwenye mapenzi. Nyumba ndogo inapopiga simu mbele ya waifu utasikia mume anaanza....alooo....alooo....alooo hebu ongeza sauti. Haloo.....network naona mbovu hebu nitakutafuta baadaye.
   
 3. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Niliwahi pigiwa simu na boss sipo job nlimrushaa mpaka mwenyewe kaseize .nlitoa haloo ishirini kidogo
   
 4. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  He he he ndo maana tunaitwa wabongo kwani hii yote ni uwezo wa kutumia bongo wakati wa kudanganya
   
 5. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nimeipenda hii
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Jun 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ahahahahaaaahh!!!
   
 7. Mosachaoghoko

  Mosachaoghoko Senior Member

  #7
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mara utamsikia mwingine akisema wewe nii nani mbona umekosea namba
   
 8. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Unasema? Kuna msiba! Kwa hiyo mko mochwari, au? Mbona sikupati vizuri? Teh teh...
   
 9. P

  PSYCHOLOGY Senior Member

  #9
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii nimeipenda...hasa ikiwa umekutana na mtu anaekudai...hapo lazima umtoke kiulaini...tena unamwambia ''ntakutafuta baadae''.
   
 10. K

  Kafuta Senior Member

  #10
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jf kuna vichwa vya nguvu tena vinafurahisha,cjapata kuona..yaan unacheka kabisaaa...na kuongeza cku za kuish.
   
 11. P

  PSYCHOLOGY Senior Member

  #11
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...ni dalili ya matatizo tu!.
   
 12. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Haijatoa jina, c unajua dabo line? Waambie cheque yangu tayari na after twenti fo hrs nita offset madeni yote. Tuma sms kama hunipati vizuri.
   
Loading...