sijui ni mila zao au ni kitu gani hiki....
binti amekua mfanyakazi kwa miaka kama mi3..akachumbiwa na akaolewa.
siku ya siku ya kwenda kuolewa katoka na kijibegi tu na mikanga zawada ya kichen party bhaaas!!
nguo zooote na maviatu kaacha kwao eti kisa anaolewa....
yaani kawaachia wadogo zake na nyingine kafungia tu kabatini ukumbusho...kwani unaenda kufa?
ivi mkoje wengine?...yaani nianze tena kununua kuanzia chup.i hadi sidiria na shumizi na magawuni while umeyaacha yanaliwa na mende kwenu?bora ata ungekua unakuja kujinunulia...!utashindia khanga..nyau!!!
mkeo unashindwa kumwambia live, unakimbilia kumtukania jf.
he he, nyie wanamme wa kileo mna mamboo
sijui ni mila zao au ni kitu gani hiki....
binti amekua mfanyakazi kwa miaka kama mi3..akachumbiwa na akaolewa.
siku ya siku ya kwenda kuolewa katoka na kijibegi tu na mikanga zawada ya kichen party bhaaas!!
nguo zooote na maviatu kaacha kwao eti kisa anaolewa....
yaani kawaachia wadogo zake na nyingine kafungia tu kabatini ukumbusho...kwani unaenda kufa?
ivi mkoje wengine?...yaani nianze tena kununua kuanzia chup.i hadi sidiria na shumizi na magawuni while umeyaacha yanaliwa na mende kwenu?bora ata ungekua unakuja kujinunulia...!utashindia khanga..nyau!!!
ha ha ha ha ha hah mwanzoni tu umeanza lalama ikifika miaka kumi unalo
Inawezekana umewahi kumuukumu.....Vipi kama atavijia badae cse kila mtu na utaratibu wake. Kwani ilikua lazima aondoke navyo siku hyo au wote mkiona??