Ukiolewa ndio uache nguo zote kwenu?

mchepuko

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,192
1,399
sijui ni mila zao au ni kitu gani hiki....

binti amekua mfanyakazi kwa miaka kama mi3..akachumbiwa na akaolewa.

siku ya siku ya kwenda kuolewa katoka na kijibegi tu na mikanga zawada ya kichen party bhaaas!!

nguo zooote na maviatu kaacha kwao eti kisa anaolewa....

yaani kawaachia wadogo zake na nyingine kafungia tu kabatini ukumbusho...kwani unaenda kufa?

ivi mkoje wengine?...yaani nianze tena kununua kuanzia chup.i hadi sidiria na shumizi na magawuni while umeyaacha yanaliwa na mende kwenu?bora ata ungekua unakuja kujinunulia...!utashindia khanga..nyau!!!
 
ndio ndoa hiyo kaka
we ulifikiri kule wanapiga marimba kama takadini
majukumu baba
 
Inawezekana umewahi kumuukumu.....Vipi kama atavijia badae cse kila mtu na utaratibu wake. Kwani ilikua lazima aondoke navyo siku hyo au wote mkiona??
 
Hahahahah hii thread imenichekesha halafu ulivyoongea kwa jazba sasa
 
Inawezekana ni makubaliano ya kaka na dada kuwa sizitaki hizi nguo zako nikikuoa unaanza hivyo visuruali vyako acha huko kwenu:)
 
mkeo unashindwa kumwambia live, unakimbilia kumtukania jf.

he he, nyie wanamme wa kileo mna mamboo
 
..mkuu, mwanaume kaumbwa mateso tu. Kitu kidogo lakini hakika utakipigia magoti!!
 
sijui ni mila zao au ni kitu gani hiki....

binti amekua mfanyakazi kwa miaka kama mi3..akachumbiwa na akaolewa.

siku ya siku ya kwenda kuolewa katoka na kijibegi tu na mikanga zawada ya kichen party bhaaas!!

nguo zooote na maviatu kaacha kwao eti kisa anaolewa....

yaani kawaachia wadogo zake na nyingine kafungia tu kabatini ukumbusho...kwani unaenda kufa?

ivi mkoje wengine?...yaani nianze tena kununua kuanzia chup.i hadi sidiria na shumizi na magawuni while umeyaacha yanaliwa na mende kwenu?bora ata ungekua unakuja kujinunulia...!utashindia khanga..nyau!!!

Mnipe mimi jembe kama humtaki....mimi hata pichu aache kwao.....hajaja kwangu kufanya fasheni shoo..... hapa ni dushe tu 24/7
 
mkeo unashindwa kumwambia live, unakimbilia kumtukania jf.

he he, nyie wanamme wa kileo mna mamboo

Ndio kizazi cha .com hicho kila kitu mtandoani kunzia kuchumbia hadi Ndoa na talaka pia lol...
 
hee huyo mke anaenda kupata shida mara hii hata kabla honeymoon haijaisha masemango yameanza?
 
sijui ni mila zao au ni kitu gani hiki....

binti amekua mfanyakazi kwa miaka kama mi3..akachumbiwa na akaolewa.

siku ya siku ya kwenda kuolewa katoka na kijibegi tu na mikanga zawada ya kichen party bhaaas!!

nguo zooote na maviatu kaacha kwao eti kisa anaolewa....

yaani kawaachia wadogo zake na nyingine kafungia tu kabatini ukumbusho...kwani unaenda kufa?

ivi mkoje wengine?...yaani nianze tena kununua kuanzia chup.i hadi sidiria na shumizi na magawuni while umeyaacha yanaliwa na mende kwenu?bora ata ungekua unakuja kujinunulia...!utashindia khanga..nyau!!!

heheheeee hilo nalo nenoooo...KWELI KBSA ..
 
ivi mkoje wengine?...yaani nianze tena kununua kuanzia chup.i hadi sidiria na shumizi na magawuni while umeyaacha yanaliwa na mende kwenu?bora ata ungekua unakuja kujinunulia...!utashindia khanga..nyau!!!
sasa hivyo unataka ununulie mchepuko?
 
Sioni tatizo mtu kuja na nguo chache kwanza wengi wakiolewa wanapata zawadi nguo nyingi bila shaka zinakuwa mpya,sasa ukitaka abebe hata visepele vyake vya zamani si ni kumwaibisha mwenzio,pia inabidi aanze maisha mapya manguo ya zamani ya kazi gani? Unatakiwa kumtunza mke si vinginevo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom