Ukiolewa bila bikra ujue mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya

Chapa mwendo huko...huna lolote!Ina maana kama mama yako na dada zako hawaku/hawatakutwa nazo nao ni Malaya ehh?

Kama ni hivyo si tuache kuonjesha. kwanini tunakasikrika???.
 
where are those dayz wakati mume anakabidhiwa mrembo kitandani kwenye shuka jeupe chini ya uangalizi wa shangazi kabla ya kuolewa?
 
I second that!Yani mwenyewe nilipita kimya maana niliona nikiongea ntajikuta nimeropoka bure!!Sijui kafikiria nini!

Mimi mwenyewe paliniboa nikajita tu nimeandika lakini hapa sio dear Lizzy wangu hebu twende kwenye mada za msingi hapa ni choo cha stendi mpya ya msamvu morooooo
 
Chapa mwendo huko...huna lolote!Ina maana kama mama yako na dada zako hawaku/hawatakutwa nazo nao ni Malaya ehh?

Wao pia ni wanawake Lizzy,jibu ni ndiyo....hakuna double standards wala jibu la tofauti na hilo!
 
where are those dayz wakati mume anakabidhiwa mrembo kitandani kwenye shuka jeupe chini ya uangalizi wa shangazi kabla ya kuolewa?

You know who to ask Hashy,certainly not us! many of us were born when nothing like that exist................lol:car::car:
 
basi swiithati usiondoke, nimechenji maindi simgongei tena.

Sikutegemea kama hata wewe utashabikia haya! Au ndo tayari unaenda kutafuta bikra?? Ukaanzie wodini kwa watotot wachanga then nursery school ndo utafanikiwa ukiingia tu darasa la kwanza umeliwa!!!!
 
Mimi mwenyewe paliniboa nikajita tu nimeandika lakini hapa sio dear Lizzy wangu hebu twende kwenye mada za msingi hapa ni choo cha stendi mpya ya msamvu morooooo
.

Nendeni zenu kwenye maada zenu . Hapa penye nyekundu pafikirie vizuri. siku zitakuja kukusuta. kwa wenye akili na utashi hii maada wasinge isema kama wewe unavyo isema. haya mkubwa nendeni mkajadili kuoa dada zenu, wakwe zenu netc.
.
 
Sikutegemea kama hata wewe utashabikia haya! Au ndo tayari unaenda kutafuta bikra?? Ukaanzie wodini kwa watotot wachanga then nursery school ndo utafanikiwa ukiingia tu darasa la kwanza umeliwa!!!!

Kama ulisha shindwa usilazimishe wengine. basi bikra hua haairudi.
 
Nilidhani tupo pamoja!!. sasa tunakabana tena??. Poa ngoja nibadilishe winger mmoja akukabe vizuri..

Sikutegemea kama hata wewe utashabikia haya! Au ndo tayari unaenda kutafuta bikra?? Ukaanzie wodini kwa watotot wachanga then nursery school ndo utafanikiwa ukiingia tu darasa la kwanza umeliwa!!!!
mskonde kabisa yaani, mimi nanyutralaizi ili sredi liweze kufikia muafaka. najaribu kuekti kama waziri asiekuwa na wizara maalum. ok tuendeleeni kuijadili bikira.
 
should i take this as an xcuse?
hakuna ekskyuz, suala la msingi inabidi wajibu bikira wanazipeleka wapi siku hizi? mbona mabibi zetu walikuwa nazo halaf walikuwa wakitongozwa wanaangalia chini lakini sku hizi unatongoza mdada anakutolea mimacho kama kingwendu. dah! imekula kwetu walahi.
 
should i take this as an xcuse?

An excuse for not bn virgin????why the hell would i give an excuse?,do me this favour,i think you have sisters and lots of women you know,you can ask them if they give any excuse for not bn virgin???? We have the responsibility to decide what we do with our bodies,no one can decide for us,not even our husbands!:car::car:
 
zis geloz of nau dayz tu mach mushkila......you surely have responsibilities to decide what to do with your bodies ikiwemo kuchakachuliwa
 
hakuna ekskyuz, suala la msingi inabidi wajibu bikira wanazipeleka wapi siku hizi? mbona mabibi zetu walikuwa nazo halaf walikuwa wakitongozwa wanaangalia chini lakini sku hizi unatongoza mdada anakutolea mimacho kama kingwendu. dah! imekula kwetu walahi.

kaka sikuhizi unamsimamisha binti kutaka kumuuliza direction kabla hujaongea anakwambia nitongeze haraka nawahi dukani!
 
Back
Top Bottom