ukinipa tano mimi nakupa gwala

Siunacheki alivyobend kisela, "kula kongoro mwana naona unateleza na miguu 3 kama kawa, nasepa mitaa ya mbele kucheki dili siunajua bongo tamabarare"
 
Hapo vipi..hapo poa, hapo vipi..hapo poa..! Kampeni ya ubunge arumeru mashariki....
 
lololo huyu alisema account yake haina hata milioni 20
huo wizi mkuu kaufanyia wapi tena mtoto wa mkulima?
angalie usije kumtoa machozi
yaani wewe utaongoza barala la waizi wewe usiwe mwizi. na kwa ujumla ni kwamba kwenye hilo chama lao ni chama la madili na maulaji kila mmoja yuko kimaslai zaidi muuli huo mradi wake wa nyuki jinsi soko lake linavyotafutwa kupitia cheo cha uwizi mkuu. Hakuna mwema hata mmoja kwenye hilo chama na akiona analia ni unafki tu yao mamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…