kuna haka katabia ka wanawake kunyimana mechi hasa usiku kwa visingizio kibao!
kabla ya mechi anaanza kulalamika mambo kibao mara hujanifanyia hiki, hujaninunulia hiki, mara mbona wewe kila siku tu unataka du sasa kuna siku nilimuonyesha mtu kazi
kaongea ongea kila nikmshika anatoa mkono anakuwa mkali, nikaona isiwe taabu, nikalala bila kumgusa!
asubuhi kama kawaida nikaenda zangu job, hukohuko nikampigia simu kuwa leo sitorudi naenda mkoa kikazi, si kuchanganyikiwa huko mwanamke anaanza ooh wewe hauendi kikaz utakuwa na mwanamke huko! zilipigwa simu siku nzima mpaka usiku kila wakati kuulizia hata visivyoulizika!
saa 5 nikazma cm weeeeeee asbh nakutana na meseji kulalama kuskoisha;
niliporudi heshima na adabu! hakuna kusumbuana tena