Habarini za asubuhi wana JF!
Nombeni ushauri wenu, nina mpenzi . Jana nikauliza naomba kujua msimamo wako juu ya mahusiano yetu. Akajibu binafsi nina malengo na ndoto zangu kama unaona nakuchelewesha nakuruhusu nenda kwa mwingine atayekuoa haraka.
Sikumiibu chcochote na mawasiliano yakaishia pale. Kila mmoja yupo kimya, ukweli mimi naumia maana ninampenda,
sasa wadau nishaurini nianze tu mimi kumtafuta? Au niendelee kukaa kimya au nifanyeje?
ushauri tafadhali- mahusiano yetu yana mwaka sasa.
Wanawake wa siku hizi ukitongozwa tu, baada ya siku mbili naomba kujua muafaka wa maisha, "WTF" mwafaka wa maisha si ningekuwambia siku ile ile nakutungoza.
Unajuwa hata kama ulikuwa unatikisa kiberiti... angalia usitikise hadi vijiti vikamwagika
wallah achana nae hawa viumbe wenye mkia mbele ni vichomi tu!!
afadhali huyo mpenzi wako amekuwa mkweli kuliko angekudanganya