robert deusi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2014
- 399
- 69
Pamoja na kwamba uchaguzi umeisha na
mshindi kapatikana lakini ari si shwari kwa watanzania walio wengi hakuna furaha wala nderemo nchi imekua kama imepatwa na msiba wa taifa
taifa limepata simanzi kwa ushindi wenye walakini wa ccm
Pamoja na hayo bado pia upande wa zanzibar ambapo mambo si shwari
Je hapa watawala wetu wanatufundisha
kitu gani kwa bara na visiwani?
Au ndio kutuhadaa na amani wakati wanatufanyia mambo yasiyo na utu na
haki.
mpaka sasa ccm inafosi kutawala lakini mwisho wa haya mabavu ya ki utawala uwa mabaya kwa taifa
aiwezekani chama kishinde alafu waliokichagua wawe kimya hata shangwe amna ebu viongozi waliangalie hili wasije kutupeleka kubaya