Hakwenda shuleni Ijumaa.Jumatatu akamwambie mama yake ampeleke shuleni ili mwalimu asimwadhibu kwa utoro.Mama yake akamwambia kwa kuwa hakwenda shuleni siku moja tu mwalimu hatamwadhibu hivyo aende mwenyewe.poleni sana, hapakuwa na ugomvi kwenye familia ?
dah mzee umewaza kama nlivyowaza mim, ila we umewaza kwasauti mzeebabaHuyo usikute anauchezea mshedede mida hii, watoto wa kike nawajua akili zao
Ninavyowajuwa wasukuma, usikute huyu kaenda kuolewa na njemba umri sawa na babu yake. Inasikitisha sana.
Huyo usikute anauchezea mshedede mida hii, watoto wa kike nawajua akili zao
Aiseeeee......[emoji45] [emoji45] [emoji45]dah mzee umewaza kama nlivyowaza mim, ila we umewaza kwasauti mzeebaba
kwann mkuuAiseeeee......[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Nimekaukiwa hata maneno ya kusema
Aiseeeee......[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Nimekaukiwa hata maneno ya kusema