Gusa unase,ukimwi upo tena wakumwaga,kati ya watu 10 utakaowaona,karibu wa 5 wameumia,wanawake ndio wengi wameumia,kati ya wanawake 10 , sita wameumia.
Upo lakini hauna madhara tena na sio ugonjwa hatarishi......
Kirusi chake kimebadili umbo ambalo halinamadhara kutokana na vyakula lishe tunavyokula kila siku....
Hapana hali ni mbaya kama huamini tembelea vituo vya PASADA uone! Kwa mfano kituo kimoja tu cha PASADA Temeke kuna maambukizi mapya 300 daily!!!! Hali nimbaya