Ukimwaga ugali, namwaga mboga

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,328
Reaction score
7,807
Jamaa kapata kimwana Temeke, ili am impress akaendesha gari lake hadi Kunduchi wakakaa kando ya bahari mahaba mazito yalifuatiwa na unywaji hatimae kulala, kabla ya kulala mdada akasema;​
MDADA: Samahani najua utakasirika lakini lazima niseme, mi niko kazini ukitaka nilale hapa ni shilingi alfu 20 mpaka asubuhi.

MKAKA: Dah haya powa akalipa kitwenti wakalala....asubuhi wakaoga vizuri wakatoka nje kwenye gari mdada akapanda jamaa kabla hajawasha gari akakohoa kidogo kisha akamwambia mdada;


MKAKA: Samahani najua utakasirika lakini lazima niseme, mi taxi dreva niko kazini, ukitaka usafiri mpaka Temeke ni shilingi alfu 50
​
 
te te te te te te te te........at least umekuwa mbunifu
 
teh teh......teh kama mbwai,mbwai tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…