The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,536
Kuna Watu wengine sijui huko Vyuoni mlienda Kufanya nini. Hivi Mtanzania Kuhojiwa 'Hardtalk' ndiyo 'Justification' kwamba ni 'Mwerevu' sana au?
YES.....!
Yaani ndiyo maana yake...
Wewe unadhani kipimo cha werevu ni nini? Kuwa Rais kama Magufuli?
Tumia kipimo chako kupima werevu wa mtu...
Wengine wanetumia HARDTALK ya BBC...
Yote yanaweza kuwa sawa...
Hard Talk ni kwa washamba tu toka Shit Hole countries.YES.....!
Yaani ndiyo maana yake...
Wewe unadhani kipimo cha werevu ni nini? Kuwa Rais kama Magufuli?
Tumia kipimo chako kupima werevu wa mtu...
Wengine wanetumia HARDTALK ya BBC...
Yote yanaweza kuwa sawa...
Hard Talk ni kwa washamba tu toka Shit Hole countries.
Putin hajawahi kuwa interviewed Hard Talk
Mjinga sana Trump hajawahi kuitwa huko.
Si Tony Blair wala Cameron au Boris nimewasikia huko kutoa policy statements na kuzitetea.
Visokorokwinyo kuitwa huko imekuwa deal!
Wengi wa walioitwa huko ni stupid reactionaries ambao hawana umaarufu toka their Shit Hole countries na wanapenda kujulikana tu.
Hard Talk wanawakusanya washamba wajinga wajinga wasiojua dunia.Don't hit around the bush...!
Sema, nyie kipimo chenu cha "werevu" ni nini?
Mimi ni HARDTALK YA BBC...
Kuwa "Jiwe" kama Magufuli?
Kama siyo, nini kipimo chako/chenu??
Swine.
Hard Talk wanawakusanya washamba wajinga wajinga wasiojua dunia.
Mbona unanisonya nmurah?
Shida nini? Nilidhani utasema ili nikujibu?
Anyway. Kama mimi ni "SWINE", basi wewe ni " NGURUWE JIKE MWEUSI TIIII"
....and you are still "NGURUWE JIKE MWEUSI TIIII"Still Swine.
MIM AFADHALI NACHAPIA KISWAHILI, SASA HILO JINGA LAKO LINAWEZA NINI?'Kwenya' ndiyo Kiswahili gani na cha wapi hiki? Angalia ulivyo 'Popoma' yaani unamcheka JPM huku na Wewe tena 'Unachapia' tu hapa Mubashara.