Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 333
Mapenzi ya siku hizi bana ni Timing lakini ukiwa na pesa ndo SECURITY
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kama fedha ndonsecurity yako, siku mkeo akiwa karibu na kina mo si utakufa kibudu?
Huwa nashangaa sana nakuta msichana letsay 26 year na kwenda mbele...ukimuuliza unataka nini kwenye mapenzi alafu anakutajia sifa za nje....inashangaza sana kwa kweli...
Ukubwa wa umri sio werevu wa akili....Mtu anapevuka kutokana na majaribu aliyoyapitia....Isitoshe watu wanatofautiana mahitaji yao wengine muonekano kwao ni muhimu kuliko vitu vingine...Na kuna sie ambao tuna priorities nyingine....🙂Huwa nashangaa sana nakuta msichana letsay 26 year na kwenda mbele...ukimuuliza unataka nini kwenye mapenzi alafu anakutajia sifa za nje....inashangaza sana kwa kweli...