Ukimgusa Abduli, umemgusa mama

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,813
Reaction score
39,588
Fanya vyote kosoa, tukana ila usijaribu kumgusa kipenzi cha mama.

Hata utani au mifano hataki

1.Lisu alimwandama Abduli ati alimpelekea furushi la pesa kama hongo, Sasa yupo Ukonga na kesi mbaya ya uhaini

2 Bon yai alithubutu kuropoka kilichomkuta, saiv amepoa mno

3. Gwajima akamtolea mfano ati vipi akitobolewa macho

Kwa hatua za awali atafukuzwa chamani hatujui ni hatua zipi zitafuata kwa Gwaji boy

Someni alama za nyakati achaneni na Abduli, ongeleeni vingine
 
Ila mnaua watoto wa wengine lakini wa kwenu akiguswa hamtaki, Abduli sio Mungu, siku yake yaja ya kulia na kusaga meno, msitutishe hata sisi tuna wazazi na wana uchungu na sisi kama yeye alivyo na uchungu na abduli
 

Kila Mtu ana uchungu na nduguye
 
Mwoga wewe, wanyambo lakini huwa siyo mashujaa
 
Wanyambo ni wanyarwanda
 
Kwani Abdul ni Mtanganyika.
 
Tahira limekuja kututisha huku! sema watz ni wastaarabu sana, endeleeni kuwaua mbaki nyie wenye haki ya kuishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…