Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,090
- 127,826
sa na we utacheza na nan!??
Mi hata nisipocheza mbona poa tu
sa na we utacheza na nan!??
PUNYETO....bwana....ukianza huachi labda ukatwe mikono.....
Huyo mwaminifu!mpende zaidi
Mi hata nisipocheza mbona poa tu
hahhaha laveda anakataa, hajaona video yake bado!!! ngoja siku na ww nkutaftie vodka kama hujajichimbia chobis
ingekuwa ukifanya unabaki na alama usoni, ingekuumbua
kama hujawahi kujaribu, utakuwa umepungukiwa na kitu
I mean imetokea ukamkuta mkeo/mumeo, ama mpenzi wako anapiga punyeto a.k.a masterbation utamfanyaje ama utajisikiaje? Utajisikitikia kwa kutomridhisha, utampiga kibao, utamlaumu kwa tabia hiyo, tuambie utafanyaje?
Ni njia nzuri ya kujikinga na ukimwi au VVU kwa hiyo mpongezetu. Unajua mpaka anapiga hiyo punyeto ni maana kwamba humpi raha kamili so badala ya kwenda kwa watu wengine inabidi ajichue iliasipate UKIMWi. pongeza sana huyo mtu
mautundu huna
Na ufungiwe kufuri kabisa kwenye "mashine" kisha funguo watupe baharini.
ila kujaribu ruksa