mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,414
- 7,026
Habari!
Hivi ni kwanini ukiwa unafanya mapenzi unakuwa huna hasira? Naongelea kwa wote, wanaume na wanawake.
Nimefanya tafiti kwenye groups kadhaa za akina mama. Wakakiri kuwa, wakiwakosea waume zao, au wakigombana kwa namna moja au nyingine, basi wakiwapa tu unyumba waume zao na hasira za waume zao huisha, wanaishia kujichekesha tu.
Kwamba mwanaume ukipewa sex hasira na frustrations zote zinaondoka?
Mimi binafsi nikichukia hata baada ya sex naliamsha tena.
Kwamba wanawake wakitukosea walazimishe kutupa unyumba ili tuwasamehe na hasira zitoke?
Unyumba unaotoaje hasira? Whats the mechanism?
Wenye uozefu ndoani, haya ni ya kweli au hadithi za kutunga tu?
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app