Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,034
- 4,270
HahahaaaHabari za Wakati huu Wazee
Nimeshitushwa sana na kushagazwa kiasi almanusura tu nizimie kwa mshituko huo. Nimekuja hapa sehemu moja karibu na ninapokaa nikataka niagize kinywaji huku nasikiliza kamziki kidg kidg.
Nilikuwa nimenunua miwa ya kutafuna nikaweka mezani nitafune alfu baadae ninywe maji. Si manager wa Bar kaja haraka haraka kunambia ondoka ondoka usiniletee Balaa.
Niakuliza kwa nia ya kujua kwanini ninaondolewa hivyo, Ndio huyudada mhudumu wa hii Bar akaniambia hairuhusiwi kula muwa Bar huleta ugomvi mkali sana hata watu kuuana.
Nimeshangaa sana π³π³π π π . Hebu niambieni wataalam kuhusu hii ishu.
Habari za Wakati huu Wazee

Wasukuma bhana sasa mua bar wanini ππππHabari za Wakati huu Wazee
Nimeshitushwa sana na kushagazwa kiasi almanusura tu nizimie kwa mshituko huo. Nimekuja hapa sehemu moja karibu na ninapokaa nikataka niagize kinywaji huku nasikiliza kamziki kidg kidg.
Nilikuwa nimenunua miwa ya kutafuna nikaweka mezani nitafune alfu baadae ninywe maji. Si manager wa Bar kaja haraka haraka kunambia ondoka ondoka usiniletee Balaa.
Niakuliza kwa nia ya kujua kwanini ninaondolewa hivyo, Ndio huyudada mhudumu wa hii Bar akaniambia hairuhusiwi kula muwa Bar huleta ugomvi mkali sana hata watu kuuana.
Nimeshangaa sana π³π³π π π . Hebu niambieni wataalam kuhusu hii ishu.
πondoka ondoka usiniletee Balaa.
Mkuu acha kuzingua ,muhimu wewe tuambie ulichoambiwa ,au tuhitimishe tu kuwa mmiliki wa Bar ni mshirikina?π€£Habari za Wakati huu Wazee
Nimeshitushwa sana na kushagazwa kiasi almanusura tu nizimie kwa mshituko huo. Nimekuja hapa sehemu moja karibu na ninapokaa nikataka niagize kinywaji huku nasikiliza kamziki kidg kidg.
Nilikuwa nimenunua miwa ya kutafuna nikaweka mezani nitafune alfu baadae ninywe maji. Si manager wa Bar kaja haraka haraka kunambia ondoka ondoka usiniletee Balaa.
Niakuliza kwa nia ya kujua kwanini ninaondolewa hivyo, Ndio huyudada mhudumu wa hii Bar akaniambia hairuhusiwi kula muwa Bar huleta ugomvi mkali sana hata watu kuuana.
Nimeshangaa sana π³π³π π π . Hebu niambieni wataalam kuhusu hii ishu.
Nimeambiwa hawaruhusu mtu Kula miwa kwenye Bar yao na sababu ni hiyo hiyo niliyoandika.Mkuu acha kuzingua ,muhimu wewe tuambie ulichoambiwa ,au tuhitimishe tu kuwa mmiliki wa Bar ni mjinga?
Sasa Mimi kula miwa alfu nikaagiza Kinywaji kuna ubaya.
π π ππ
πππππππ
Fafanua Mkuu, Hii inahusianaje sasa na nilichosema mimiNi sawa na kupitisha mchango wa sadaka ndani ya kanisa la walokole wa kutumia boksi la konyagi