Ukikutana na gari yenye Engine hii, usisogeze pua yako!

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,373
6,756
VQ30 (DET) Sio engine ya kitoto!
Hii ni Engine iliyofungwa kwenye baadhi ya gari za Nissan kama vile Nissan Cedric...
Ina ukubwa wa engine wa 3,000cc, V6 ikiwa pamoja na Turbo, huku ikitumia Petrol.
Hii engine si ya kitoto, gari yenye engine hii inachomoka kama unyoya...
Usije sijui na kibebi walker chako ukataka kuleta competition. Utaaibika brother... Kaa mbali na engine hii...




 
akili za kitoto kukimbizana ! Madereva makini wanaelewa taratibu barabarani
 
Nyinyi mnaoshabikia mwendo mkali mimi hua nawakodolea macho gari yangu speed limit ni 180k/h lakini huwezi amini sijawahi fika 130k/h ingawa nasafiri sana mikoani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…